Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

wakati nna umri mdogo huo usumbufu wao niliuona kawaida coz mazingira yangu na yao yalikua yanafanana, wote tulikua bado tuko home, wote tulikua bado tunategemea wazazi.

sasa umri umeenda na mazingira yamebadilika, nadet na girls wanaoendana na mazingira yangu na hizo stress za kujitafutia kama zako sina.



Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
swa mkuu umechukua maamzi sahihi ndio maana huwa najiuliza hawa jamaa wanaodate hawa watoto wanafaidi nini
 

Una umri gani?

Pamoja na sifa zote ulizowamwagia hapo tafuta maisha, tafuta pesa, tafuta mali.... binadamu hubadilika lakini wanawake hubadilika kwelikweli.

Usione raha vile ukiwa huna hela wanakuvumilia ukasahau siku watakayokuona mzigo watakavyokuacha kwaaibu....

Wanawake ndio wanawake Mungu tuu ndio anawaelewa
 
Ila cha ajabu ukizipata utaanza kuona wabibi miyeyusho utarudi kwa vibinti, kwa sasa kitonga inakutoa ufahamu.
sawa mkuu ila sina njaa lakini what am talking about is care ya kujali mahusiano na hakuna siku mwanaume atafikia utajiri wa kumlidhisha mwanamke mwenye tamaa ndugu hata ukimnunulia ferari atadai lollyloyce, ukinunua lolly atadai prevertjet shtuka kaka acha kuamini pesa ndio kila kitu katika mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…