Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

Daah mwamba umesema kama ambavyo kuna kinguchiro kimeniambia hivo hivo, ushirikiano kutoa namba na kuchati kama wote, hawa mende sio wa kijipendekeza kindezi, very early unamwambia mi nataka mahusiano na iwe serious au ya kupiga game mi nakutaka chagua wewe.
All in all by BABALEVO hao Ni pasua kichwa mkuuu
 
Sina haja ya kukubishia ila ukifika 40 tukiwa hai usiache kuja hapa kunitag uzoefu

Dogo 40 ndio mwanzo wa starehe, raha na furaha[emoji2][emoji2][emoji2]
sahihi huu ndio mda unakuta tayari ameshapata mwafaka wa maisha mkuu kama ni wakukosa keshakosa na anajua tayari alishakosa na kama ni kupata ndio mda unatumia ulichokitafta miaka ya nyuma kwa hiyo hapa hizi stress za kutafta ajira za hawa watoto miaka 20 etc hamna maana tayari wana uhakika na mambo
 
sahihi huu ndio mda unakuta tayari ameshapata mwafaka wa maisha mkuu kama ni wakukosa keshakosa na anajua tayari alishakosa na kama ni kupata ndio mda unatumia ulichokitafta miaka ya nyuma kwa hiyo hapa hizi stress za kutafta ajira za hawa watoto miaka 20 etc hamna maana tayari wana uhakika na mambo

Vijana wa 20s wanajuaga wao tuu ndio wanayapatia na wanachujua wa 40s hawana wanachojua hahaha
 
Habari wakuu,

Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatimae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika mahusiano yamejaa vioja na mateso chungu nzima, yaani ni mahusiano ya wasiwasi tupu, Kwanza haupati unachokitaka kwa muda unaotaka, mnaishi maisha ya kupangiana mida ya kuonana, mnapangiana hadi pakumwagia, Hapo sasa sijazungumzia lile balaa la bebi sijaona siku zangu, SEEH Hata sitaki kuendelea kufafanua haya mateso, ila shida kuna watu wanaweza kuhisi mahusiano ndivyo yalivyo kwa kuwa hawajawahi kujaribu upande wa pili wa 30-49 etc

Yani wanawake wa age kuanzia 30-49 etc wako vizuri sana, hawana mambo mengi sana na hawana tamaa za ajabu ajabu pia wako very romantic, hata ukipaliwa kidogo mikiwa wote utasikia pole baby hebu kanywe maji kwanza, In short wanacare sana.

Na hawana ahadi za uongo akisema mtaonana muda flani ontime anakucheki na hawana mambo mengi kama haiwezekani hawaforce mambo yaani wako very systematically ni haipo haipo kweli ipo ipo hamna longolongo'

Hawana tamaa za ajabu ajabu kama akihitaji kitu hauna wanajua maisha hawalazimishi, ni wapole pia ni wavumilivu wanajua changamoto kuwa kuna kukosa na kuna kupata, hawawezi kukuomba kitu ambacho wanajua hauna uwezo nacho au anachojua wewe kukipata kitagharimu au kuvuruga bajeti yako ya kujiendesha

Hamna wasiwasi kuhofia mimba au kuonekana, labda kama kuna mpango wa kando napo pia wanakuwaga makini sana hawataki kabisa kukuharibia au wao kujiharibia, wanaheshimu sana mahusiano yako incase kama makubaliano yenu wote ni ya mpango wa kando ni watu makini sana katika mambo yao na haoneshi dalili za mabadiliko katika watu wao, wanakuwa wako lovely sana ni ngumu hata wao kushtukiwa.

Hawaitaji extra energy kama mundende na vumbi la kongo ikitokea siku ukaperfom chini ya kiwango unapata nafasi nyingine ya kujirekebisha na hawaoneshi dalili yoyote ya unyanyapaa wala kukudharau wanajua hizo changamoto ni kawaida sana na hawana tamaa ya shoo bigbig

Kimaumbile kidogo hapa wanazidi kunichanganya utakuta mtu kapitisha vichwa vya watoto 5 au 4 ila bado iko taiti na joto kama lote ila hawa bwana wadogo ukikutana nao utakupa ni Breakmbupu yaani kuna muda inabidi upitishe mkono kuhakiki kama imo au ni pembeni hata sijui kama wanakanyagwa na miguu ya tembo huko ikulu maana ni hatari na nusu,

Pia wako siriaz sana katika mapenzi hawahitaji kudekezwa na utoto mwingine wa kijinga ni watu wa kazi mambo ya utoto na michezo ya kurushiana mito kwenye sita kwa sita kacheze na watoto wao wakishafika kunako wanajua kipi kifanyike sio watu wa kupoteza muda kwa utoto na mambo yasiyo na msingi mambo ya tom and jerry nyumbani kwa watoto, wao ni kazikazi tu.

Kwa kweli nina mengi ya kuwasifia ila ngoja niishie hapa kwa leo ila kwangu mimi hii age #MITANO TENA.
ndo maana vitu pana pana kumbe tembo nao wanatia maguu.
 
Mama D Mkongwe humuu namuonaga kitamboo.



Alafu wewe Terminetor ulikuwa una lala nyuzi zako zina linganishwa za miaka kumi ilio pita na za sasaaa hivi.
Ila kama badoo hujatulia

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Atatuliaje mtu anayeomba frendz matches hadi leo😎
Wala sio ajali au kukosea ila hii yake inaweza kuwa lifestyle
 
Back
Top Bottom