snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Watuwache na matairi yetu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watu wana Makasiriko..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watuwache na matairi yetu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watu wana Makasiriko..
Sio tunapangwa tupigwe kweli?Tumepanda charts shogaangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watuwache na matairi yetu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwambaaaa????Sio tunapangwa tupigwe kweli?
Teh.. vikongwe unawajua kweli wewe! Tulia hivyo hivyo...Nimekumiss zaidi Shem lake...
Leo vikongwe tumekumbukwa aiseeee....
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85].....Nimetulia Shem..Teh.. vikongwe unawajua kweli wewe! Tulia hivyo hivyo...
Amin...😂😂Naona tumekumbukwa.. Haleluyah....
A.k.A kitongaHii tunaita kamserereko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Dah aseee "inabidi upitishe mkono kujua umepitisha pembenii" hahaahahahhaahhahaahHabari wakuu,
Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatimae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika mahusiano yamejaa vioja na mateso chungu nzima, yaani ni mahusiano ya wasiwasi tupu, Kwanza haupati unachokitaka kwa muda unaotaka, mnaishi maisha ya kupangiana mida ya kuonana, mnapangiana hadi pakumwagia, Hapo sasa sijazungumzia lile balaa la bebi sijaona siku zangu, SEEH Hata sitaki kuendelea kufafanua haya mateso, ila shida kuna watu wanaweza kuhisi mahusiano ndivyo yalivyo kwa kuwa hawajawahi kujaribu upande wa pili wa 30-49 etc
Yani wanawake wa age kuanzia 30-49 etc wako vizuri sana, hawana mambo mengi sana na hawana tamaa za ajabu ajabu pia wako very romantic, hata ukipaliwa kidogo mikiwa wote utasikia pole baby hebu kanywe maji kwanza, In short wanacare sana,
Na hawana ahadi za uongo akisema mtaonana muda flani ontime anakucheki na hawana mambo mengi kama haiwezekani hawaforce mambo yaani wako very systematically ni haipo haipo kweli ipo ipo hamna longolongo'
Hawana tamaa za ajabu ajabu kama akihitaji kitu hauna wanajua maisha hawalazimishi, ni wapole pia ni wavumilivu wanajua changamoto kuwa kuna kukosa na kuna kupata, hawawezi kukuomba kitu ambacho wanajua hauna uwezo nacho au anachojua wewe kukipata kitagharimu au kuvuruga bajeti yako ya kujiendesha
Hamna wasiwasi kuhofia mimba au kuonekana, labda kama kuna mpango wa kando napo pia wanakuwaga makini sana hawataki kabisa kukuharibia au wao kujiharibia, wanaheshimu sana mahusiano yako incase kama makubaliano yenu wote ni ya mpango wa kando ni watu makini sana katika mambo yao na haoneshi dalili za mabadiliko katika watu wao, wanakuwa wako lovely sana ni ngumu hata wao kushtukiwa.
Hawaitaji extra energy kama mundende na vumbi la kongo ikitokea siku ukaperfom chini ya kiwango unapata nafasi nyingine ya kujirekebisha na hawaoneshi dalili yoyote ya unyanyapaa wala kukudharau wanajua hizo changamoto ni kawaida sana na hawana tamaa ya shoo bigbig
Kimaumbile kidogo hapa wanazidi kunichanganya utakuta mtu kapitisha vichwa vya watoto 5 au 4 ila bado iko taiti na joto kama lote ila hawa bwana wadogo ukikutana nao utakupa ni Breakmbupu yaani kuna muda inabidi upitishe mkono kuhakiki kama imo au ni pembeni hata sijui kama wanakanyagwa na miguu ya tembo huko ikulu maana ni hatari na nusu,
Pia wako siriaz sana katika mapenzi hawahitaji kudekezwa na utoto mwingine wa kijinga ni watu wa kazi mambo ya utoto na michezo ya kurushiana mito kwenye sita kwa sita kacheze na watoto wao wakishafika kunako wanajua kipi kifanyike sio watu wa kupoteza muda kwa utoto na mambo yasiyo na msingi mambo ya tom and jerry nyumbani kwa watoto, wao ni kazikazi tu.
Kwa kweli nina mengi ya kuwasifia ila ngoja niishie hapa kwa leo ila kwangu mimi hii age #MITANO TENA.
Hatutaki ugomvi na mtu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeeeeeh sisi wenyewe majambazi.Sio tunapangwa tupigwe kweli?
jina lako nani ?Makiwendo...
SawaHabari wakuu,

Punguza utegemezi wewe ombaomba usie na vigezoTafuta hela acha kupenda kulelewa na watu waliokuzidi umri, raha ya mwanaume kutunza mwanamke na sio kutunzwa
Umasikini wako ndio umekufanya uamini mapenzi kwako ni fursa ya kiuchumiWanaume sikuhizi mnapenda kuolewa na wanawake wenye hela hzo age hapo unakuta hawana kipato,so wanaume kitonga wanawakimbia
Nikisikia magomeni kagera napata memory shoo fulani kali.Iceland Hotel kama sijakosea maana ni zamani kidogo, ipo jirani na barabara maeneo ya Arjentina. Pembeni yake wanauza majeneza sanaa, sasa ukitoka hapo unaenda kama waelekea Magomeni Kagera hapo katikati ndo kuna hiyo Bar , nimeisahau jina....
Wivu huooo, acha apendwe na alelewe.Tafuta hela acha kupenda kulelewa na watu waliokuzidi umri, raha ya mwanaume kutunza mwanamke na sio kutunzwa
Wivi huo, nyie above 40 ni mazee umri wenu kwisha habari.Una umri gani?
Pamoja na sifa zote ulizowamwagia hapo tafuta maisha, tafuta pesa, tafuta mali.... binadamu hubadilika lakini wanawake hubadilika kwelikweli.
Usione raha vile ukiwa huna hela wanakuvumilia ukasahau siku watakayokuona mzigo watakavyokuacha kwaaibu....
Wanawake ndio wanawake Mungu tuu ndio anawaelewa
Wivi huo, nyie above 40 ni mazee umri wenu kwisha habari.