Ni kweli kabisa, nami niliwahi pata ka demu miaka 19 au 20. Kasuri sanaa unadhani ka malaika fulani hivi... aisee kwenye gemu mtoto alikuwa na tobo huyooo. Siku nyingine nikiwa mkoa Dar Guest niliyofikia jirani kuna Bar na live music nikaenda pale. Kuna mhudumu akawa ananihudumia muda wote, yuko around 35 yrs hivi. Nikampa ofa ya bia moja akaomba hiyo pesa apate chakula maana Hajala, nikamwambia poa kula tuu msosi na bia chukua. Ilipofika saa sita mi nikamuaga na kuondoka (huwa sipendi kuopoa demu on day one, napenda angalau nimuone mchana pia). Kesho yake jioni baada ya mzunguko yangu nikaenda tena, yule dada akaja fasta kunihudumia na kwa kweli tukazoeana maana nilikaa muda pale. Sasa bwana siku moja nikaamua kumsuburi niondoke naye, nikakaa mpaka saa saba tukaondoka wote. Aisee dada alikuwa na mashine matata sijawahi kuona, yaani very special...