Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

All in all by BABALEVO hao Ni pasua kichwa mkuuu
 
Sina haja ya kukubishia ila ukifika 40 tukiwa hai usiache kuja hapa kunitag uzoefu

Dogo 40 ndio mwanzo wa starehe, raha na furaha[emoji2][emoji2][emoji2]
sahihi huu ndio mda unakuta tayari ameshapata mwafaka wa maisha mkuu kama ni wakukosa keshakosa na anajua tayari alishakosa na kama ni kupata ndio mda unatumia ulichokitafta miaka ya nyuma kwa hiyo hapa hizi stress za kutafta ajira za hawa watoto miaka 20 etc hamna maana tayari wana uhakika na mambo
 

Vijana wa 20s wanajuaga wao tuu ndio wanayapatia na wanachujua wa 40s hawana wanachojua hahaha
 
ndo maana vitu pana pana kumbe tembo nao wanatia maguu.
 
Mama D Mkongwe humuu namuonaga kitamboo.



Alafu wewe Terminetor ulikuwa una lala nyuzi zako zina linganishwa za miaka kumi ilio pita na za sasaaa hivi.
Ila kama badoo hujatulia

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Atatuliaje mtu anayeomba frendz matches hadi leo😎
Wala sio ajali au kukosea ila hii yake inaweza kuwa lifestyle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…