Duh hii kali ndio naisikia leo........... At least mimi nilishawahi ku..piz kwenye mtihani ....kadiri nilivyokuwa nakimbizana na muda ndivyo ngoma ilivyokuwa inapikwa ile pens down na miguu ikaloa. Serious this is a tru experience.
NI ISHARA MBAYA SANA.. SIWEZI KUELEZA HAPA. NDIO KUSEMA UMEJITAMANINi nini husababisha mwanaume katoa bao (ejaculation) au mucus wakati anajisaidia haja kuwa?
Je? Ni ishara ya tatizo lolote ?
May be ni kweli.. Manake nna miaka 3 sijafanya sex
Na Ata ivo sinaga mazoea ya kusex nasubiria ndowa
May be ni kweli.. Manake nna miaka 3 sijafanya sex
Na Ata ivo sinaga mazoea ya kusex nasubiria ndowa
Jibu haya maswali!!Ni nini husababisha mwanaume katoa bao (ejaculation) au mucus wakati anajisaidia haja kuwa?
Je? Ni ishara ya tatizo lolote ?
Hahahahaha laaleki, pens down... wadudu kaput!!!Duh hii kali ndio naisikia leo........... At least mimi nilishawahi ku..piz kwenye mtihani ....kadiri nilivyokuwa nakimbizana na muda ndivyo ngoma ilivyokuwa inapikwa ile pens down na miguu ikaloa. Serious this is a tru experience.
Hahaaaa kumbe tuko wengi basi siogopi tena maana juzi kati ilitaka kurudia tena ikabidi nimuite msimamizi aongeze plain paper watu wote walinishangaa ila mission successfulHahahahaha laaleki, pens down... wadudu kaput!!!
Hii imewatokea wengi sana.
Hahaaaaa aiseee dah nikijumbuka nacheka sana ila raha yake usipime usipowahi kufuta kwa suruali hukawii Lions zikidondoka chiniHata mm iliwahi kunitokea kwenye mtihani Wa form four pepa la mathematics.
Msimamiz aliposema ten minutes to time nkachanganyikiwa na kupiga bao kabisa!! Hatari sana!
Sijawahi kupata justification yake ila truly speaking nilikuwa siwazi ngono but ile concentration on exam na kukimbisana na muda ilitoshaInaelekea mtihani ulikuwa mwepesi mpaka mawazo ukayapeleka kwenye ngono
ni mshituko na wasiwasi ndio sababu,so mwili hufanya hvyo ikiwa ni njia mojawapo ili kuregulate hali ikae sawa na mtu hulerax mno after that ejaculation,imenitokea mara 3 nikiwa practicals,mwanamke nae anaweza kupata menses akiwa kwenye state kama hiyo.Inaelekea mtihani ulikuwa mwepesi mpaka mawazo ukayapeleka kwenye ngono
Ni nini husababisha mwanaume katoa bao (ejaculation) au mucus wakati anajisaidia haja kuwa?
Je? Ni ishara ya tatizo lolote ?
Hii na mm ishanitokea zaidi ya mara moja aiseeDuh hii kali ndio naisikia leo........... At least mimi nilishawahi ku..piz kwenye mtihani ....kadiri nilivyokuwa nakimbizana na muda ndivyo ngoma ilivyokuwa inapikwa ile pens down na miguu ikaloa. Serious this is a tru experience.
Nhahahahahahaha hii ni kubwa kuliko!Inaelekea mtihani ulikuwa mwepesi mpaka mawazo ukayapeleka kwenye ngono
Duh hii kali ndio naisikia leo........... At least mimi nilishawahi ku..piz kwenye mtihani ....kadiri nilivyokuwa nakimbizana na muda ndivyo ngoma ilivyokuwa inapikwa ile pens down na miguu ikaloa. Serious this is a tru experience.
Hio hali ni kawaida mkuu, hata ukikojoa kama kawaida utatokwa na manii. Mwanamme hupimwa uzazi wake kwa kutumia mkojo, manii kutoka ni lazimaHiyo ni feature ya wanaume wote ila wewe utakua kuna vitu umefanya ndo maana umevuka limit ya wanaume wenzio wa kawaida hawapig bao huku wanajisaidia majority wanapata tu mild erection.
Hauna tatizo mkuu,hiyo hali huwatokea wanaume sina uhakika kama ni wote iwapo atakuwa hajafanya tendo la ndoa kwa muda mrefu na ana tatizo la constipation wakati anajisaidia haja kubwa manii huwa inatoka.