Ku ejaculate wakati unajisaidia haja kubwa

Ku ejaculate wakati unajisaidia haja kubwa

Duh hii kali ndio naisikia leo........... At least mimi nilishawahi ku..piz kwenye mtihani ....kadiri nilivyokuwa nakimbizana na muda ndivyo ngoma ilivyokuwa inapikwa ile pens down na miguu ikaloa. Serious this is a tru experience.

Hata mm iliwahi kunitokea kwenye mtihani Wa form four pepa la mathematics.

Msimamiz aliposema ten minutes to time nkachanganyikiwa na kupiga bao kabisa!! Hatari sana!
 
May be ni kweli.. Manake nna miaka 3 sijafanya sex
Na Ata ivo sinaga mazoea ya kusex nasubiria ndowa
Ni nini husababisha mwanaume katoa bao (ejaculation) au mucus wakati anajisaidia haja kuwa?

Je? Ni ishara ya tatizo lolote ?
Jibu haya maswali!!
1.Unapiga punyeto??? Au ushawahi??
2.Unaangalia picha za ngono??
Kama unafanya hayo acha, na hiyo ndio dawa ya tatizo lako.
 
mkuu angalia lkn, kila jambo huwa na side effects
 
Duh hii kali ndio naisikia leo........... At least mimi nilishawahi ku..piz kwenye mtihani ....kadiri nilivyokuwa nakimbizana na muda ndivyo ngoma ilivyokuwa inapikwa ile pens down na miguu ikaloa. Serious this is a tru experience.
Hahahahaha laaleki, pens down... wadudu kaput!!!

Hii imewatokea wengi sana.
 
Hahahahaha laaleki, pens down... wadudu kaput!!!

Hii imewatokea wengi sana.
Hahaaaa kumbe tuko wengi basi siogopi tena maana juzi kati ilitaka kurudia tena ikabidi nimuite msimamizi aongeze plain paper watu wote walinishangaa ila mission successful
 
Hata mm iliwahi kunitokea kwenye mtihani Wa form four pepa la mathematics.

Msimamiz aliposema ten minutes to time nkachanganyikiwa na kupiga bao kabisa!! Hatari sana!
Hahaaaaa aiseee dah nikijumbuka nacheka sana ila raha yake usipime usipowahi kufuta kwa suruali hukawii Lions zikidondoka chini
 
Inaelekea mtihani ulikuwa mwepesi mpaka mawazo ukayapeleka kwenye ngono
Sijawahi kupata justification yake ila truly speaking nilikuwa siwazi ngono but ile concentration on exam na kukimbisana na muda ilitosha
 
Inaelekea mtihani ulikuwa mwepesi mpaka mawazo ukayapeleka kwenye ngono
ni mshituko na wasiwasi ndio sababu,so mwili hufanya hvyo ikiwa ni njia mojawapo ili kuregulate hali ikae sawa na mtu hulerax mno after that ejaculation,imenitokea mara 3 nikiwa practicals,mwanamke nae anaweza kupata menses akiwa kwenye state kama hiyo.
 
Nahisi hyo hali ulokuwa nayo huwatokea wala gomba wakitafuna mdomoni wakipata haja kubwa au akipata haja ndogo manii humtoka
 
Duh hii kali ndio naisikia leo........... At least mimi nilishawahi ku..piz kwenye mtihani ....kadiri nilivyokuwa nakimbizana na muda ndivyo ngoma ilivyokuwa inapikwa ile pens down na miguu ikaloa. Serious this is a tru experience.
Hii na mm ishanitokea zaidi ya mara moja aisee
 
Duh hii kali ndio naisikia leo........... At least mimi nilishawahi ku..piz kwenye mtihani ....kadiri nilivyokuwa nakimbizana na muda ndivyo ngoma ilivyokuwa inapikwa ile pens down na miguu ikaloa. Serious this is a tru experience.

Mkuu umenichekesha kweli na kunikumbusha mbali. Hata mimi ilishanitokea mara mbili. Moja nilikuwa nasalfiri. nimefika airport nasikia jina langu linatajwa kwenye kipaza sauti kuwa geti linafungwa nami ndo nilikuwa msafiri pekee niliyekuwa nimebaki ili ndege iondoke. Hivyo kusikia hivyo hata sikujua nini kilinipata.. nakimbia kwenye dawati la kucheck in huku hali ikiwa mbaya zikatoka. Ila nilibahatika kuboard sikuachwa.

Mara ya pili nilikuwa chuo nafanya mtihani. Nimesoma swali la kwanza sikupata concept, la pili silielewi nalo, la tatu pia, gafla dudu likasimama ohooo zikatoka pia. nami nilianza kuhisi naumwa. Lakini baada ya kufuatilia kusoma vitabu vya psychology, niligundua kuwa huo inatokea endapo ukiwa kwenye tension gafla, sense organs zinashindwa kucoordinate na ubongo. Hivyo ubongo unatoa tafsri tofauti hivyo kuhusu hali yoyote kutokea kutegemea na nini ubongo umetafsiri hiyo message. Ubongo ukitafasiri kuna ni tenda la kunya basi unaweza kujiharishia.
 
Hiyo ni feature ya wanaume wote ila wewe utakua kuna vitu umefanya ndo maana umevuka limit ya wanaume wenzio wa kawaida hawapig bao huku wanajisaidia majority wanapata tu mild erection.
Hio hali ni kawaida mkuu, hata ukikojoa kama kawaida utatokwa na manii. Mwanamme hupimwa uzazi wake kwa kutumia mkojo, manii kutoka ni lazima
Hauna tatizo mkuu,hiyo hali huwatokea wanaume sina uhakika kama ni wote iwapo atakuwa hajafanya tendo la ndoa kwa muda mrefu na ana tatizo la constipation wakati anajisaidia haja kubwa manii huwa inatoka.
 
Hilo sio tatizo wala c ugonjwa,mm pia hunitokea hasa pale ninapokuwa nimekaa kwa muda mrefu na pia hunitokea pale napokuwa may be nimefikilia sana kuhusu ngono na uume kusimama kwa muda mrefu,hvyo ukienda kujisaidia wakat unaendelea na kukata mzigo na umeshakojoa,baadaye unaona kitu kama mlenda mweupe unatoka,sio shahawa insuchi ni kama mucus tu,ni sawa na mucus inayotoka wakati ukimuandaa mwanamke,ile unayochafua chupi c shahawa
 
Back
Top Bottom