Ku Klux Klan ni akina nani?

Ku Klux Klan ni akina nani?

Darnes 2016

Member
Joined
Aug 5, 2018
Posts
19
Reaction score
7
1affcc5138c98e9516b4fb2c78745826.jpg
50ebb3c53e2acb49eff1d6184af4e853.jpg

Leo nimeona kidogo nilete historia japo kwa ufupi ya hii society ya kisiri ya Ku klux klan maarafu kama KKK

KKK ni society ya siri iliyoanzishwa na wazungu miaka ya 1860 huko Marekani.

Historia ya hili kundi imegawanyika mara tatu:
1. First Klan: 1865-1871
2. Second Klan: 1915-1944
3. Third Klan: 1946-leo

Kundi hili lina historia kubwa sana. Limejihusisha katika unyama wa kila namna dhidi ya watu na vikundi mbalimbali. Wahanga wao wakubwa wakiwa ni watu weusi.

Kesho panapomajaliwa nitaanza kuchambua kiundani kbs kundi moja moja kuanzia first hadi third klan.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
2nasubiri 2meipenda hyooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ku klax klan ni taasisi ya siri inayoendeshwa kisiri ila lengo kuu lilikua kuharass black americans ambao walikua wnadai haki zao.
 
Back
Top Bottom