Darnes 2016
Member
- Aug 5, 2018
- 19
- 7
Leo nimeona kidogo nilete historia japo kwa ufupi ya hii society ya kisiri ya Ku klux klan maarafu kama KKK
KKK ni society ya siri iliyoanzishwa na wazungu miaka ya 1860 huko Marekani.
Historia ya hili kundi imegawanyika mara tatu:
1. First Klan: 1865-1871
2. Second Klan: 1915-1944
3. Third Klan: 1946-leo
Kundi hili lina historia kubwa sana. Limejihusisha katika unyama wa kila namna dhidi ya watu na vikundi mbalimbali. Wahanga wao wakubwa wakiwa ni watu weusi.
Kesho panapomajaliwa nitaanza kuchambua kiundani kbs kundi moja moja kuanzia first hadi third klan.
Sent from my iPhone using JamiiForums