balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mpwayungu village anakujaAisee bank wezi sana. Mwezi wa 7 nlikopa CRDB milion 20 kwa mkopo wa miezi 36 ambapo kuna riba ya 4 miln.
Nikaenda kufanya ujenzi Mwanza. Sasa bana nikapata dharura inayohitaji hela kama 3 miln, nikataka kutop up.
Aisee nilitakiwa kurudisha 7 Milions maana riba ni milion 4+ nikauliza afsaa wa bank huu wizi nikaondoka.
Sasa walimu wanatop up kila mwaka.
SecondedSio rahisi hivyo huwezi chukua ti 2.6 per year ukazidisha kwa 3yrs. Riba zao ni reducing balance huwezi kupiga hivyo.
Huyo jamaa ni muongo hakuna benki ya namna hiyo! Hata bank za vichochoroni hakuna yenye mfumo wa topup ya namna hiyo. Siku zote top up ni unalipa deni halisi excluding interestsNyoosha maelezo riba ya mkopo wa 20 millions ilikuwa milioni 4 ukaja Tena kuomba milioni 3 ikatakiwa urudishe 7 millions Kama sehemu ya riba au?
Mimi mwenyewe nilishangaa milioni 20 miaka 3 milioni 4 mbona riba ndogo sanaCrdb riba ni 13%
Kwa 20m,riba kwa mwaka round m2.6 ambapo kwa miaka mitatu riba inakuja round m7.8
Mkuu kuna kauongo kwenye story yako,we sema tu unataka kuwasema walimu
Yaani Kama unakopa milioni 20 kwa miaka 3 kwa riba ya 4 milioni basi lazima nikakopeSio rahisi hivyo huwezi chukua ti 2.6 per year ukazidisha kwa 3yrs. Riba zao ni reducing balance huwezi kupiga hivyo.
Naunga mkono hoja, yaani Milioni 20 kwa miaka mitatu urejeshe riba ya 4milion tu?? Hata mm naomba connection niweke hati ya nyumbaCrdb riba ni 13%
Kwa 20m,riba kwa mwaka round m2.6 ambapo kwa miaka mitatu riba inakuja round m7.8
Mkuu kuna kauongo kwenye story yako,we sema tu unataka kuwasema walimu
Nafikiri hamkuelewana au ofisa njaa alitaka kukupiga, hizo number doesn't make any sense, labda kwa Bank za vichochoroniMkopo 20M = riba 4M
akatop-up 3M, Jumla ya mkopo wote ikawa 23M
Therefore;
Mkopo 23M = riba 7M
Wezi sana.
Balance inaenda ikipungua kila mwaka, riba haiwezi kuwa sawa miaka yote, jamaa yuko sawaCrdb riba ni 13%
Kwa 20m,riba kwa mwaka round m2.6 ambapo kwa miaka mitatu riba inakuja round m7.8
Mkuu kuna kauongo kwenye story yako,we sema tu unataka kuwasema walimu
NdioBila watumishi mabenki yangeshafilisika
Mkuu si umeona lakini salalryslip ama unabishana tuNaunga mkono hoja, yaani Milioni 20 kwa miaka mitatu urejeshe riba ya 4milion tu?? Hata mm naomba connection niweke hati ya nyumba