Wengi hawajaelewa:-
Let say umekopa 20m Leo 21.01.2023 then inatakiwa urudishe 24m(4m ni riba) baada ya miezi 36 means kila mwezi inatakiwa alipe 667K.......Katika hiyo 667k kuna hela ya mkopo + riba na benki nyingi wanavyokata mkopo ni kwamba mwanzoni unalimwa riba nyingi ila unarudisha kidogo means katika hiyo 667k utakuta analipa deni 400k halafu riba 267k kwa mwezi wa kwanza ,Then mwezi wa pili inaweza akawa anarudisha deni 420k+riba 247k ,then mwezi wa tatu ikawa deni 440k+riba 227k.
Kwahiyo ukitaka kutop lets say ushalipa miezi kama 12 hivi ,kwahiyo benk watajumlisha kihasi cha mkopo uliorudisha tu na sio kihasi cha riba ,kihasi cha mkopo watakachopigia ni 400k+420k+440K+..................Then wanapata lets say 5.2m lakini kwa mwaka makato jumla uliyolipa ni 667k * 12 = 8m ,kwahiyo ndani ya mwaka mmoja bank watakuwa wamechukua riba ya 2.8m.
Then ukija kutop up watakupa vile vile 20m kama salary yako net ipo vile vile na wao interest ipo vile vile kama awali ,ila watakupa kihasi cha deni ulilolipa tu la mkopo ambao ni 5.2m with interest ya 4m vile vile kwa miezi 36 ,Then ukija kujumlisha interest itakuwa 2.8m+4m = 6.8m ndicho alicho maanisha mtoa mada.