Ku-top up mkopo

Ku-top up mkopo

Aisee bank wezi sana. Mwezi wa 7 nlikopa CRDB milion 20 kwa mkopo wa miezi 36 ambapo kuna riba ya 4 miln.

Nikaenda kufanya ujenzi Mwanza. Sasa bana nikapata dharura inayohitaji hela kama 3 miln, nikataka kutop up.

Aisee nilitakiwa kurudisha 7 Milions maana riba ni milion 4+ nikauliza afsaa wa bank huu wizi nikaondoka.

Sasa walimu wanatop up kila mwaka.
Mpwayungu village anakuja
 
Nyoosha maelezo riba ya mkopo wa 20 millions ilikuwa milioni 4 ukaja Tena kuomba milioni 3 ikatakiwa urudishe 7 millions Kama sehemu ya riba au?
Huyo jamaa ni muongo hakuna benki ya namna hiyo! Hata bank za vichochoroni hakuna yenye mfumo wa topup ya namna hiyo. Siku zote top up ni unalipa deni halisi excluding interests
 
Wengi hawajaelewa:-

Let say umekopa 20m Leo 21.01.2023 then inatakiwa urudishe 24m(4m ni riba) baada ya miezi 36 means kila mwezi inatakiwa alipe 667K.......Katika hiyo 667k kuna hela ya mkopo + riba na benki nyingi wanavyokata mkopo ni kwamba mwanzoni unalimwa riba nyingi ila unarudisha kidogo means katika hiyo 667k utakuta analipa deni 400k halafu riba 267k kwa mwezi wa kwanza ,Then mwezi wa pili inaweza akawa anarudisha deni 420k+riba 247k ,then mwezi wa tatu ikawa deni 440k+riba 227k.

Kwahiyo ukitaka kutop lets say ushalipa miezi kama 12 hivi ,kwahiyo benk watajumlisha kihasi cha mkopo uliorudisha tu na sio kihasi cha riba ,kihasi cha mkopo watakachopigia ni 400k+420k+440K+..................Then wanapata lets say 5.2m lakini kwa mwaka makato jumla uliyolipa ni 667k * 12 = 8m ,kwahiyo ndani ya mwaka mmoja bank watakuwa wamechukua riba ya 2.8m.

Then ukija kutop up watakupa vile vile 20m kama salary yako net ipo vile vile na wao interest ipo vile vile kama awali ,ila watakupa kihasi cha deni ulilolipa tu la mkopo ambao ni 5.2m with interest ya 4m vile vile kwa miezi 36 ,Then ukija kujumlisha interest itakuwa 2.8m+4m = 6.8m ndicho alicho maanisha mtoa mada.
 
Kutokana na watu kuwa wabishi nimeamua kuleta salalry slip yangu hapa. Hii nimalipo ya mwezi wa kwanza kabisa nlikopa 20 mil
IMG-20230123-WA0001.jpg
 
Crdb riba ni 13%
Kwa 20m,riba kwa mwaka round m2.6 ambapo kwa miaka mitatu riba inakuja round m7.8

Mkuu kuna kauongo kwenye story yako,we sema tu unataka kuwasema walimu
Naunga mkono hoja, yaani Milioni 20 kwa miaka mitatu urejeshe riba ya 4milion tu?? Hata mm naomba connection niweke hati ya nyumba
 
Mkopo 20M = riba 4M

akatop-up 3M, Jumla ya mkopo wote ikawa 23M

Therefore;
Mkopo 23M = riba 7M

Wezi sana.
Nafikiri hamkuelewana au ofisa njaa alitaka kukupiga, hizo number doesn't make any sense, labda kwa Bank za vichochoroni
 
Crdb riba ni 13%
Kwa 20m,riba kwa mwaka round m2.6 ambapo kwa miaka mitatu riba inakuja round m7.8

Mkuu kuna kauongo kwenye story yako,we sema tu unataka kuwasema walimu
Balance inaenda ikipungua kila mwaka, riba haiwezi kuwa sawa miaka yote, jamaa yuko sawa
 
Naunga mkono hoja, yaani Milioni 20 kwa miaka mitatu urejeshe riba ya 4milion tu?? Hata mm naomba connection niweke hati ya nyumba
Mkuu si umeona lakini salalryslip ama unabishana tu
 
Back
Top Bottom