Kua makini na binadamu wenye silka kama hizi

Kua makini na binadamu wenye silka kama hizi

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Note : Story ni ndefu kiasi , kama una haraka kula kona .
Ni imani yangu wana wa bodi , wadau mko poa kifizikali , kispiricho , kifainensi etcetera .

Baba Shani na Mama Shani wameishi ndoani kwa miongo kadhaa .
Kwa nyakati tofautitofauti Mama Shani amekua akim'bughudhi mumewe kwa kumshakia anatembea nje ya ndoa .
Pamoja na kumfatilia sana hakupata hata mara moja kiashiria chochote kumthibitishia hilo.

Hata hivyo Baba Shani alikua akifanya mapenzi na mke wa mtu mmoja (mganga wa kienyeji) , lakini kwa siri sana.
Mganga huyo nae alikwisha fahamu muda mrefu kwamba mkewe ni mzinzi sugu .
Hivyo akaweka nadhiri mwanaume yyt atakae mfumania anamla mkewe , basi adhabuye ni kumkata dhakari kisha anawauzia waganga wenzie wenye kuhitaji bidhaa hiyo , na kwa washirikina watafutao hizo makitu .

Kuna kipindi aliwafumania kwa mfululizo wagoni , na kufanya mfuko wake wa kuhifadhia hizo ndude kufika robo3 kujaa .
Na ndipo ktk muda huo Baba Shani alipobugi step naye kudakwa na Mganga .

Kama ilivyo ada yake , mganga akamkata Baba Shani kitendea kazi .
Baba Shani aliporudi kwake , alijaribu kuficha ile hali kwa siku 3 , na ya 4 vikabainika kwa mkewe .

Ofcoz hakuna mwanamke awezae kuishi na mume asiye na kifanyio .
Hivyo alim'bana mumewe aweke wazi , kadhia ile ameipataje na akimnasihi yuko tayari kumsaidia , kwani yeye anatambua kwa mganga anaweza kuirejesha ilivyokua ili mradi tu kile kilichokatwa kipatikane .

Baba Shani hakua na alternative zaidi ya kumuongoza mkewe hadi kwa Mganga .
Walifika na baada ya mazungumzo marefu , Mganga akakubali kuwarejeshe kwa ahadi ya alipwe fidia baadae .

Aliwapa fuko watafute wenyewe , Baba Shani haikua rahisi kuitambua zana yake .
Inasemekana ndani ya hilo fuko pia zilikuamo mbili za mapadrii wa kizungu .
Ilimchukua mizunguko mitatu Baba Shani , hajaitambua yake.
Ndipo Mama Shani akamwambia , hebu sogea hapa nikusaidie .
Akaanza kupekua huku akizitaja baadhi .
"ona kama hii ni ya Ustadhi Juma wa kule chini"
"angalia hii nyeusi ni Onyango fundi viatu"
"ooh maskini na hii ya Onesmo"

Wadau hii ni story ya kubuni , lakini ndanimwe ina mazingatio.
Kwamba hapa ilivyo Baba Shani umalaya wake ulikua kwa mwanamke mmoja tu!
Lakini Mama Shani ndiye aliyekua mzinzi wa kuitwa malaya .
Wakati Mzinzi huyohuyo ndy aliyekua bugdha kwa kumshakia mumewe umalaya! KUA MAKINI UKUTANAPO NA BINADAMU WENYE SILKA KAMA ZA MAMA SHANI .
Pole kwa gazeti . Better to share without quotin full thrade .
 
Mdau mpendwa itapendeza kushare bila ku Qoute !
 
Duuh!! Mama Shani noma so hata zile 2 za mapadri wa kizungu ni yeye aliezibaini au?
 
Duuh!! Mama Shani noma so hata zile 2 za mapadri wa kizungu ni yeye aliezibaini au?

Kidogo nipaliwe na ubwabwa!
Nasoma hii comment yako YNNAH same time nala!
Huo mswali wako umenipasukwa mcheko , alimanusura chenga zipande kwenye throat !
 
Last edited by a moderator:
YNNAH shauri ya kun'chekesha nikasahau hata kukurply swalilo la msingi , ni kwamba zile za mapadrii wakware wakitasha , si zinatambulika kwa ule uwhite wake!
Sources hazikutoa further details kwamba nazo zilimlamba Mama Shani au vipi .
 
Last edited by a moderator:
kwa nini mama shani hakutaftiwa adhabu
 
kwa nini mama shani hakutaftiwa adhabu

Inavyo onekana at the quarrell moment hapakua na wa kumuadabisha Mama Shani , Meanwhile Baba Shani alikua yuko m'magumu akifikiria kifanyio if kitarejezeka ama hakitarejezeka .
 
wezi walikutana
ila mama shani duh
Inavyo onekana at the
quarrell moment hapakua na wa kumuadabisha Mama Shani , Meanwhile Baba
Shani alikua yuko m'magumu akifikiria kifanyio if kitarejezeka ama
hakitarejezeka .
 
Swali la kujiuliza ni hivi;

Kwanini uwaze mwenzake kuku cheat wakati wewe hauna tabia hiyo?????
 
Harusi lini? Usisahau kunialika lol

farkhina kabanga anaoa kumbe?
Afu unakumbuka usubui kunako Sredi moja inayokwenda kwa headin ya "Kitendawili" uliuliza swali kua humfahamu Shaba Ranks nikakujibu , ulisharudi kule? Kuangalia jibulo.
 
Last edited by a moderator:
Swali la kujiuliza ni hivi;

Kwanini uwaze mwenzake kuku cheat wakati wewe hauna tabia hiyo?????

Mzee nikiweka sawa ulizo lako , iko hivi - mtu anakua anamshakia mwenzawake kwa bughdha , kero , as far as creatin unnecessarly conflicts , kwamba anamcheat ilhali suala halipo .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom