Note : Story ni ndefu kiasi , kama una haraka kula kona .
Ni imani yangu wana wa bodi , wadau mko poa kifizikali , kispiricho , kifainensi etcetera .
Baba Shani na Mama Shani wameishi ndoani kwa miongo kadhaa .
Kwa nyakati tofautitofauti Mama Shani amekua akim'bughudhi mumewe kwa kumshakia anatembea nje ya ndoa .
Pamoja na kumfatilia sana hakupata hata mara moja kiashiria chochote kumthibitishia hilo.
Hata hivyo Baba Shani alikua akifanya mapenzi na mke wa mtu mmoja (mganga wa kienyeji) , lakini kwa siri sana.
Mganga huyo nae alikwisha fahamu muda mrefu kwamba mkewe ni mzinzi sugu .
Hivyo akaweka nadhiri mwanaume yyt atakae mfumania anamla mkewe , basi adhabuye ni kumkata dhakari kisha anawauzia waganga wenzie wenye kuhitaji bidhaa hiyo , na kwa washirikina watafutao hizo makitu .
Kuna kipindi aliwafumania kwa mfululizo wagoni , na kufanya mfuko wake wa kuhifadhia hizo ndude kufika robo3 kujaa .
Na ndipo ktk muda huo Baba Shani alipobugi step naye kudakwa na Mganga .
Kama ilivyo ada yake , mganga akamkata Baba Shani kitendea kazi .
Baba Shani aliporudi kwake , alijaribu kuficha ile hali kwa siku 3 , na ya 4 vikabainika kwa mkewe .
Ofcoz hakuna mwanamke awezae kuishi na mume asiye na kifanyio .
Hivyo alim'bana mumewe aweke wazi , kadhia ile ameipataje na akimnasihi yuko tayari kumsaidia , kwani yeye anatambua kwa mganga anaweza kuirejesha ilivyokua ili mradi tu kile kilichokatwa kipatikane .
Baba Shani hakua na alternative zaidi ya kumuongoza mkewe hadi kwa Mganga .
Walifika na baada ya mazungumzo marefu , Mganga akakubali kuwarejeshe kwa ahadi ya alipwe fidia baadae .
Aliwapa fuko watafute wenyewe , Baba Shani haikua rahisi kuitambua zana yake .
Inasemekana ndani ya hilo fuko pia zilikuamo mbili za mapadrii wa kizungu .
Ilimchukua mizunguko mitatu Baba Shani , hajaitambua yake.
Ndipo Mama Shani akamwambia , hebu sogea hapa nikusaidie .
Akaanza kupekua huku akizitaja baadhi .
"ona kama hii ni ya Ustadhi Juma wa kule chini"
"angalia hii nyeusi ni Onyango fundi viatu"
"ooh maskini na hii ya Onesmo"
Wadau hii ni story ya kubuni , lakini ndanimwe ina mazingatio.
Kwamba hapa ilivyo Baba Shani umalaya wake ulikua kwa mwanamke mmoja tu!
Lakini Mama Shani ndiye aliyekua mzinzi wa kuitwa malaya .
Wakati Mzinzi huyohuyo ndy aliyekua bugdha kwa kumshakia mumewe umalaya! KUA MAKINI UKUTANAPO NA BINADAMU WENYE SILKA KAMA ZA MAMA SHANI .
Pole kwa gazeti . Better to share without quotin full thrade .