Kua makini na binadamu wenye silka kama hizi

Swali la kujiuliza ni hivi;

Kwanini uwaze mwenzake kuku cheat wakati wewe hauna tabia hiyo?????

Mzee nikiweka sawa ulizo lako , iko hivi - mtu anakua anamshakia mwenzawake kwa bughdha , kero , as far as creatin unnecessarly conflicts , kwamba anamcheat ilhali suala halipo .
 
Last edited by a moderator:
YNNAH shauri ya kun'chekesha nikasahau hata kukurply swalilo la msingi , ni kwamba zile za mapadrii wakware wakitasha , si zinatambulika kwa ule uwhite wake!
Sources hazikutoa further details kwamba nazo zilimlamba Mama Shani au vipi .
uwhite sawa ni za wazungu, je imeulikana vipi kama ni za mapadre?
 
uwhite sawa ni za wazungu, je imeulikana vipi kama ni za mapadre?

Swali laini kama Big g !! Kwenye constituecy hiyo palikua na wamissionary maburuda wa kitaliano .
 
. . . Na wote walishampitia Mama Shani kudaadeki.

Yaani Mkuu , Mama Shani ni dizaini ya wanawake specific name huitwa "Pepongono" !
Hua wao hawako kibiashara , wao hua na muasho flani hivi , na ukishamuasha ni lazma akunwe! So haangalia sura ya mkunaji !
Yeye anaangalia kucha tu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…