Ndio lakini kipindi hiko misa si ndo alikua anajiona mkwe wa shoka.Hata zari yalishamkuta aina za mama km hawa wa kucheza kwa step
Daah!possible yumkini lipo alilofanya ila kaah!Ndio lakini kipindi hiko misa si ndo alikua anajiona mkwe wa shoka.
Tukiachana bifu na mama dangote na mobeto juu ya bwana nahis kuna kitu kikubwa tununu kafanya. Familia yote imemgeuka
Hapana bi dada imeandikwa ,'mkumbuke muumba wako siku za ujana wako"kujichetua ni noma tu hata kwa kijana,tusijidanganye.Hapana ila tunajua ujana maji ya moto ila ukiona mtu mpk uzeeni anajichetua huyo ana shida
Pepo mchafu akutoke, bila kujal iman yako sema aminaHuenda sio mama ake alioa mapema kikongwe sasa anasingizia ni mamaye kutuzuga