Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Mmh gene cant believe kumbe na wewe source yako kubwa ni mange pole sana ndo maana siku hizi una chuki kali mno kwa watu wenye hela zao. Jiangalie mkuu utaishia kuumia kwa mambo ya mitandaoni.

Mange huyo huyo alisema ray kamuua kanumba,tiffa sio wa dai,makonda hasimamishi mara makonda anatembea na wasanii wa bongo movie saiv kawadaka eti mama dai anakula dawa za ukimwi aiseee pole mkuu.
Hahahaa Numbisaaaa bwana!
Umeongea ukweli ambao watu hawapendi kusikia hata kidogo
 
Daah!possible yumkini lipo alilofanya ila kaah!
Huyu mama ana shida hivi hajiskiagi vibaya hawara wa watoto zake wote anapigana nao vijembe km mtoto

Yaani huyu mama Zari awe nae makini haswaa kaahh!
Nafikiri Zari kwa sasa keshajua namna ya kudeal na hii familia. But Hamisa alijiona amefika akasahau Kuna KARMA sasa yanamkuta walomhakikisha wote wamemgeuka
 
Back
Top Bottom