MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hahahaa Numbisaaaa bwana!Mmh gene cant believe kumbe na wewe source yako kubwa ni mange pole sana ndo maana siku hizi una chuki kali mno kwa watu wenye hela zao. Jiangalie mkuu utaishia kuumia kwa mambo ya mitandaoni.
Mange huyo huyo alisema ray kamuua kanumba,tiffa sio wa dai,makonda hasimamishi mara makonda anatembea na wasanii wa bongo movie saiv kawadaka eti mama dai anakula dawa za ukimwi aiseee pole mkuu.
Umeongea ukweli ambao watu hawapendi kusikia hata kidogo