Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

This is too much huyu mama jamani kuweza kuishi nae kipaji haswaaa
Walianza na wema akamchambaa,akaja zari alikua anapigwa madongo
Leo zamu ya hamisa kaaah
Au anataka mwanawe amlale mwenyewe loohh!View attachment 621549View attachment 621550
Huyu mtu mzima kisheti jamani asiejijua kaaaahh

Ama kweli masikini akipataa

Muda wa ibada na toba anashindana na vitoto kaaah
Diamond muambie mama ako there is something called KARMA
Hahaaa mbna kasema ukweli mtupu,mtoto wke kabla hajapata pesa alikua anaitwa domo,cku hizi wadada wanatamani kuzaa nae wanunuliwe rav4
 
Mmh gene cant believe kumbe na wewe source yako kubwa ni mange pole sana ndo maana siku hizi una chuki kali mno kwa watu wenye hela zao. Jiangalie mkuu utaishia kuumia kwa mambo ya mitandaoni.

Mange huyo huyo alisema ray kamuua kanumba,tiffa sio wa dai,makonda hasimamishi mara makonda anatembea na wasanii wa bongo movie saiv kawadaka eti mama dai anakula dawa za ukimwi aiseee pole mkuu.
Ndo anadhalilika sasa kwenye mitandao mpk tumejua anakula dozii
 
Mdomo wa hamisa umekaa kama unasema tununu muda wote ndo kapewa nickname hio
Hahahahaaaa acheni masikhra jamani kwaivi hahahaa ile lips inasema Tununu...na Tukinao ni nani Zari?
 
Ndio lakini kipindi hiko misa si ndo alikua anajiona mkwe wa shoka.

Tukiachana bifu na mama dangote na mobeto juu ya bwana nahis kuna kitu kikubwa tununu kafanya. Familia yote imemgeuka
Tununu ni nani?
 
Huyu mama atakua ana*****a na vi Ben 10 anamuonea wivu mpaka mwanae,ningekua mama mkwe wake kwa mtoto wake wa kike ningekaza wote mamaeee
 
Huyo mama ni wa uswazi unabidi umzoee tu ukiishi uswahili mtu kama huyo hakusumbui hata punje kama Zari Kesha msoma wanaenda sawa
 
95% ya wapondeaji hapa hawajawahi kwenda labor aisee,Nani anataka vipanga kuruka na mwanaye?Domo ni mtoto tu na atabaki hivyo kwa mama yake,mnajua taabu alizompatia akiwa singo parent! Lazima aumie bana,mzee mwenyewe alimtelekeza mpaka akawa anafanana na mkaa.
 
Mdomo wa hamisa umekaa kama unasema tununu muda wote ndo kapewa nickname hio
Kwan neno Tununu lina maana gan? Na Tukinao what does it mean, ila wabongo tuna maneno sis
 
Tununu ni hamissa sababu ya kidomo chake na tukinao ni Zari sababu ni mtu mzima.
Duuh kumbee, so Tukinao means muhenga ila ilo Tununu nafikir hata mwenyewe uwa anacheka akilisoma
 
Back
Top Bottom