Hahaaa mbna kasema ukweli mtupu,mtoto wke kabla hajapata pesa alikua anaitwa domo,cku hizi wadada wanatamani kuzaa nae wanunuliwe rav4This is too much huyu mama jamani kuweza kuishi nae kipaji haswaaa
Walianza na wema akamchambaa,akaja zari alikua anapigwa madongo
Leo zamu ya hamisa kaaah
Au anataka mwanawe amlale mwenyewe loohh!View attachment 621549View attachment 621550
Huyu mtu mzima kisheti jamani asiejijua kaaaahh
Ama kweli masikini akipataa
Muda wa ibada na toba anashindana na vitoto kaaah
Diamond muambie mama ako there is something called KARMA
Sawa ila mpka aseme hivyo lazma kuna shidaMtu mzima anapaswa kujiheshimu
Ndo anadhalilika sasa kwenye mitandao mpk tumejua anakula dozii
Tununu ni nani? Na tukinao ndo yupi ...Mashostito wa JF mnisaidie hata sielewagi diomonist versus mobetolical with Zarism
Tununu ni hamissa sababu ya kidomo chake na tukinao ni Zari sababu ni mtu mzima.Tununu ni nani? Na tukinao ndo yupi ...Mashostito wa JF mnisaidie hata sielewagi diomonist versus mobetolical with Zarism
Hahahahaaaa acheni masikhra jamani kwaivi hahahaa ile lips inasema Tununu...na Tukinao ni nani Zari?Mdomo wa hamisa umekaa kama unasema tununu muda wote ndo kapewa nickname hio
Duh shikamooni wabongo sio kwa creative hiziTununu ni hamissa sababu ya kidomo chake na tukinao ni Zari sababu ni mtu mzima.
kula dozi kawaida hiyo, wangapi wanakulaNdo anadhalilika sasa kwenye mitandao mpk tumejua anakula dozii
Tununu ni nani?Ndio lakini kipindi hiko misa si ndo alikua anajiona mkwe wa shoka.
Tukiachana bifu na mama dangote na mobeto juu ya bwana nahis kuna kitu kikubwa tununu kafanya. Familia yote imemgeuka
Kwan neno Tununu lina maana gan? Na Tukinao what does it mean, ila wabongo tuna maneno sisMdomo wa hamisa umekaa kama unasema tununu muda wote ndo kapewa nickname hio
Duuh kumbee, so Tukinao means muhenga ila ilo Tununu nafikir hata mwenyewe uwa anacheka akilisomaTununu ni hamissa sababu ya kidomo chake na tukinao ni Zari sababu ni mtu mzima.