Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

nampenda sana huyu mama ila siku hizi simuelewi
Muelewe tu ndo alivyo unajua wanapenda sana wawe kwenye midomo ya watu ndo maana week hii mwanae anayazua week ijayo yeye week ingine zari week ingine Hamissa inakua kama kagame fulani hivi cha kuwaingizia hela kiki style.Mie nishawapuuza.
 
Wifi sio nduguyo wala mkwe ni wanaafiki mnoi

Ila mange kamsuuza vzr tu maana kampa dose moja matataa huko aliko anajuta mpk tumejua kua in victim kaah
so mange kumtukana mama mtu mzima ni sawa..huyu ni kama maake haijalishi amefanya nini!
 
huwa sielewagi mashabiki zake..kama hapo anamsema mama dai ambae kaandika mafumbo tu halafu anamshabikia mange anayetukana matusi mpaka ya nguoni. Sielewagi kabisaaaa
 
Na hapo wengi ni wanawake wanachekelea tu. Mange aliniacha hoi aliposema zari mtoto wa tano kamtoa kama anakojoa eti hakuna maumivu kheee na bla bla tele za leba na wanawake wanaunga mkono. Ingekua virahisi hivyo sidhan kama wengi wangetumia uzazi wa mpango. Maumivu ya leba hayavumiliki wala kuzoeleka
huwa sielewagi mashabiki zake..kama hapo anamsema mama dai ambae kaandika mafumbo tu halafu anamshabikia mange anayetukana matusi mpaka ya nguoni. Sielewagi kabisaaaa
 
Mange hana uchungu na mama. Ukifatilia historia yake na mama ake utashangaa. Bora dai hajamtupa wala kuona aibu ya umaskin aliokua nao mama ake. Ila kwa mange aibu tupu ndo maana hodar wa kutukana mama wa wenzie
so mange kumtukana mama mtu mzima ni sawa..huyu ni kama maake haijalishi amefanya nini!
 
Muelewe tu ndo alivyo unajua wanapenda sana wawe kwenye midomo ya watu ndo maana week hii mwanae anayazua week ijayo yeye week ingine zari week ingine Hamissa inakua kama kagame fulani hivi cha kuwaingizia hela kiki style.Mie nishawapuuza.
Kweli
 
Wamama waliozea kugalagazwa na vijana ni shida sana,anawashwa washwa huyo muhenga
 
Kwa kuongezea hajui kama wewe ni mkongwe katika kiwanja hiki cha JF. anyway bi dada hujambo umepotea hadi ufahamiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…