Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

hahahahahaa sikuona hiyo aisee ubuyu ulinipita lol
ahaaa ndo maana unabisha
images
 
nampenda sana huyu mama ila siku hizi simuelewi
Muelewe tu ndo alivyo unajua wanapenda sana wawe kwenye midomo ya watu ndo maana week hii mwanae anayazua week ijayo yeye week ingine zari week ingine Hamissa inakua kama kagame fulani hivi cha kuwaingizia hela kiki style.Mie nishawapuuza.
 
Mmh gene cant believe kumbe na wewe source yako kubwa ni mange pole sana ndo maana siku hizi una chuki kali mno kwa watu wenye hela zao. Jiangalie mkuu utaishia kuumia kwa mambo ya mitandaoni.

Mange huyo huyo alisema ray kamuua kanumba,tiffa sio wa dai,makonda hasimamishi mara makonda anatembea na wasanii wa bongo movie saiv kawadaka eti mama dai anakula dawa za ukimwi aiseee pole mkuu.
huwa sielewagi mashabiki zake..kama hapo anamsema mama dai ambae kaandika mafumbo tu halafu anamshabikia mange anayetukana matusi mpaka ya nguoni. Sielewagi kabisaaaa
 
Na hapo wengi ni wanawake wanachekelea tu. Mange aliniacha hoi aliposema zari mtoto wa tano kamtoa kama anakojoa eti hakuna maumivu kheee na bla bla tele za leba na wanawake wanaunga mkono. Ingekua virahisi hivyo sidhan kama wengi wangetumia uzazi wa mpango. Maumivu ya leba hayavumiliki wala kuzoeleka
huwa sielewagi mashabiki zake..kama hapo anamsema mama dai ambae kaandika mafumbo tu halafu anamshabikia mange anayetukana matusi mpaka ya nguoni. Sielewagi kabisaaaa
 
Mange hana uchungu na mama. Ukifatilia historia yake na mama ake utashangaa. Bora dai hajamtupa wala kuona aibu ya umaskin aliokua nao mama ake. Ila kwa mange aibu tupu ndo maana hodar wa kutukana mama wa wenzie
so mange kumtukana mama mtu mzima ni sawa..huyu ni kama maake haijalishi amefanya nini!
 
Muelewe tu ndo alivyo unajua wanapenda sana wawe kwenye midomo ya watu ndo maana week hii mwanae anayazua week ijayo yeye week ingine zari week ingine Hamissa inakua kama kagame fulani hivi cha kuwaingizia hela kiki style.Mie nishawapuuza.
Kweli
 
Wamama waliozea kugalagazwa na vijana ni shida sana,anawashwa washwa huyo muhenga
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nna chuki na wenye hela wepi?!!

Pole sana hunijui Mimi kumbe numbisaa basi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mi mbona mange kashanitukana mpk wafuasi wake wamenitus kipindi cha blog yake [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwa kuongezea hajui kama wewe ni mkongwe katika kiwanja hiki cha JF. anyway bi dada hujambo umepotea hadi ufahamiki.
 
Back
Top Bottom