chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Haha kwa nini wanamuita hivyo? Ni mnyakyusa kwani?Hamisa bibi we na jina lingine Chuchunge
[emoji2] [emoji2] kawaida hyo ht kule tulikozaliwa tukifika Leo tunaonekana wageniKwa kuongezea hajui kama wewe ni mkongwe katika kiwanja hiki cha JF. anyway bi dada hujambo umepotea hadi ufahamiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] , aisee!Huenda sio mama ake alioa mapema kikongwe sasa anasingizia ni mamaye kutuzuga
kile kimdomo kipo kama anatamka neno " tununu "Haha kwa nini wanamuita hivyo? Ni mnyakyusa kwani?
Haha jamaniikile kimdomo kipo kama anatamka neno " tununu "
Mecheka sanaaaaaaa,,,hahaaaaHuenda sio mama ake alioa mapema kikongwe sasa anasingizia ni mamaye kutuzuga
Hahahaa jamani binadamu sio watu wazurikile kimdomo kipo kama anatamka neno " tununu "
Ndo kishachambwa hivo tununu sahivi kamgeukia Mungu anapost post za huruma, alilianzisha yani anawaletea waswahili uswahili ha ha ha ma mkwe pekee amtosha bado wifi Esma, atulie tu alee watotoKama mama anashinda ig kushindana na sisi unategemea nini,,anatembea na vijana wadogo unategemea nini,,hana adabu hata kidogo huyu mama
Mim namshauri Hamisa akae nao mbali na apige kimya awasiliane na daimond tu,,ikibidi amchambeeee ,mi ningekua nampa vijembe mpaka angejuta mbwa huyo
Ndio keshazaa nae wapasukeNdo kishachambwa hivo tununu sahivi kamgeukia Mungu anapost post za huruma, alilianzisha yani anawaletea waswahili uswahili ha ha ha ma mkwe pekee amtosha bado wifi Esma, atulie tu alee watoto
Hawana cha kupasukia ila wamemtuliza!!!!Ndio keshazaa nae wapasuke
Htwo wrongs doesn't make it right!..say no to matusi..me sishabikii mtukanaji yeyoteHata hamisa ni mama wa watoto wawili kwa nini atukanwee