Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Kwa kuongezea hajui kama wewe ni mkongwe katika kiwanja hiki cha JF. anyway bi dada hujambo umepotea hadi ufahamiki.
[emoji2] [emoji2] kawaida hyo ht kule tulikozaliwa tukifika Leo tunaonekana wageni
Mi mzima mambo mambo tu mengi!!
 
Kama mama anashinda ig kushindana na sisi unategemea nini,,anatembea na vijana wadogo unategemea nini,,hana adabu hata kidogo huyu mama
Mim namshauri Hamisa akae nao mbali na apige kimya awasiliane na daimond tu,,ikibidi amchambeeee ,mi ningekua nampa vijembe mpaka angejuta mbwa huyo
 
Ndo kishachambwa hivo tununu sahivi kamgeukia Mungu anapost post za huruma, alilianzisha yani anawaletea waswahili uswahili ha ha ha ma mkwe pekee amtosha bado wifi Esma, atulie tu alee watoto
 
Ndo kishachambwa hivo tununu sahivi kamgeukia Mungu anapost post za huruma, alilianzisha yani anawaletea waswahili uswahili ha ha ha ma mkwe pekee amtosha bado wifi Esma, atulie tu alee watoto
Ndio keshazaa nae wapasuke
 
Mimi nikiona mtu anaamini anachosema mange huwa namshangaa sana...eti mange kasema
 
walipokuwa wanahangaika na mwanaye hamkuwepo waache wafanye yao avae kipedo,singlend,bukta ya kwao,hujalipa marejesho vikoba bili ya maji,kodi,king'amuzi chumvi na ndala kwa jirani.fia shida zako
 
Huyu Sandra hana nidhamu,,kama alishindwa kuelewa kwaviboko shuleni basi Huyo ni zero hamna kitu bogas mxiuuuu
 
Back
Top Bottom