Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Hahahaa Numbisaaaa bwana!
Umeongea ukweli ambao watu hawapendi kusikia hata kidogo
 
Daah!possible yumkini lipo alilofanya ila kaah!
Huyu mama ana shida hivi hajiskiagi vibaya hawara wa watoto zake wote anapigana nao vijembe km mtoto

Yaani huyu mama Zari awe nae makini haswaa kaahh!
Nafikiri Zari kwa sasa keshajua namna ya kudeal na hii familia. But Hamisa alijiona amefika akasahau Kuna KARMA sasa yanamkuta walomhakikisha wote wamemgeuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…