Kua uyaone.

Mkuu Slave, nadhani una access ya Jukwaa la Wakubwa. Ingia katika thread: MPAKA LIMEBAKI KONGORO 2 BADO LIMO. Nafikiri utapata ushahidi tosha. Umepanda mkenge mtu mzima mwenzangu. Tafakari.

Sasa namtaka Baba V atangaze rasmi kuvunjwa kwa ndoa hii na hilo lidume lililokubali kuolewa lilipe faini!
 
Last edited by a moderator:
Kwani huu uchumba haujawahi hata kumtoa out? Ukamkiss na kuegemeza goti pale kati (ndio only way ya kutest ujue). Kaka angalia aisee.

Haya ndio matatizo ya vijana wa siku hizi. Wanapenda majina kwanza! Akisikia mtu anaitwa Smile, ladyfurahia, amu, Madame B, and the like anapagawa moja kwa moja. Matokeo yake ndio haya. Ila bado najiuliza ni kwanini hilo dume limekubali kuolewa?
 
Last edited by a moderator:
mmh kumbe na wewe wamo mkuu...huwa unaendaga huko kufuatilia wageni wanajichanganya vipi na wenyejia au???

Lazima tuwafanyie ukaguzi, ili hizi ndoa za jinsia moja zisikuwepo.
 
Sasa namtaka Baba V atangaze rasmi kuvunjwa kwa ndoa hii na hilo lidume lililokubali kuolewa lilipe faini!

Jamani mimi nina ushahidi uwiiiiiiiiii!!!!!!"
Shost angu ni girl jamani... mbona hamuelewi....
 
Last edited by a moderator:
Kwani huu uchumba haujawahi hata kumtoa out? Ukamkiss na kuegemeza goti pale kati (ndio only way ya kutest ujue). Kaka angalia aisee.

wewe dada yangu kaa ukisubiri wifi tu,kwani shida yako ni wifi au jeans ya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…