Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kiongozi mambo vp?
salama mkuu lete habari...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi mambo vp?
Heheeee hapo sasa.
Slave kaingia chaka mazima.
Hebu Baba V njoo tuthibitishie kuwa Evelyn Salt ana kibandiko na sio kining'inio
Kwani huu uchumba haujawahi hata kumtoa out? Ukamkiss na kuegemeza goti pale kati (ndio only way ya kutest ujue). Kaka angalia aisee.
Umeua kibandiko na kining'inio. Umenifumbua
hata kama ni dume kwani wanado kiukweliiiiiii????? lol
Sasa namtaka Baba V atangaze rasmi kuvunjwa kwa ndoa hii na hilo lidume lililokubali kuolewa lilipe faini!
Acheni kuharibu ndoa za watu....
Huo ni wivu kwa kike .... Sosi: utajaza mwenyewe¡¡
Kwani huu uchumba haujawahi hata kumtoa out? Ukamkiss na kuegemeza goti pale kati (ndio only way ya kutest ujue). Kaka angalia aisee.