Globu am dissapointed
kwa ulichoandika hapa labda kama unatania! Watu walishapigwa ban kwa
ajili ya huo uchafu unaoandika....mi kumcfia mwanamke ndo kisa cha ww
kuandika huu -----?am nt interestd with ths rabbish unatafta ban isio na
kichwa wala mkia!!!
This is CHIT CHAT!!!!!!
my cousin charminglady hebu njoo uwasaidie hawa watu wawili Filipo na Donn sijui wana nini nami jamani sipendi uchokozi mwenzenu hamjui siku hizi nimebadilika jamani acheni kunichafua humu MMU tabia yangu haaaa njoo ndugu yangu uwaonye naona hawakupitia katika ile column niliyawapost hawa wanaume hawa haaaaa!
Achana nae huyo Globu ananchafua hapa kisa nimetolea nje pm zake.... charminglady na asakuta same hebu come this way muuthibitishie umma mi ni sista duu!!!
Achana nae huyo Globu ananchafua hapa kisa nimetolea nje pm zake.... charminglady na asakuta same hebu come this way muuthibitishie umma mi ni sista duu!!!
Heheeee hapo sasa.
Slave kaingia chaka mazima.
Hebu Baba V njoo tuthibitishie kuwa Evelyn Salt ana kibandiko na sio kining'inio
pole sana Evelyn Salt....... wana CC wote huyo Evelyn Salt ni toto la nguvu hata chaminglady anajua....huyu mtoto kwa shape ,pozi na style hayupo tofauti na huyu hapa chini ila yeye hana tatoo na kichwani nywele ni black japo style ya nywele zinafanana......
View attachment 78664
View attachment 78665
View attachment 78666View attachment 78667View attachment 78668
mama weee!
Haya haya mwambie Evelyn Salt apunguze hasira
Dah halafu ndio nilikuwa namuwaza bro wangu.
urrererereeeeeee Donn wao walisema wa nini wakati huo sie tulisema tutampata lini sasa tumempata tayari wameanza
hakuna cha mchele wala mpunga hapa Filipo amezidi sana sijui kinamuwasha nini mpaka anitaje na tena anajisikia raha gani asipotaja jinala la ladyfurahia sijamuelewa ana malengo gani na mm Donn halafu na wewe Donn acha kuwafuatilia watu hapa naona nawe unanitafuta hebu kua uyaone weeeeeeeeee
Heheheee nini tena shem mbona hivyo?
umeona jombaaa... Kula maraha bana... Hii pingamizi haina uzito