Kua uyaone.

Kua uyaone.

nilijua tu Filipo usinitaje haipiti siiku niko katika kinywa chako sijui unataka kuniaharibia ndoa yangu na Mentor mm nasema sitaki kunitajataja Filipo
 
Last edited by a moderator:
Hapa sasa napata wasi... Au Globu umenyang'anywa tonge mdomoni? Mi japo sijamkagua Evelyn Salt lakini siamini.... Slave amejipatia dhahabu toka JF bana.. Teh teh teh

urrererereeeeeee Donn wao walisema wa nini wakati huo sie tulisema tutampata lini sasa tumempata tayari wameanza
 
Last edited by a moderator:
Achana nae huyo Globu ananchafua hapa kisa nimetolea nje pm zake....charminglady na asakuta same hebu come this way muuthibitishie umma mi ni sista duu!!!
usiwe na wasi wasi
 
hakuna cha mchele wala mpunga hapa Filipo amezidi sana sijui kinamuwasha nini mpaka anitaje na tena anajisikia raha gani asipotaja jinala la ladyfurahia sijamuelewa ana malengo gani na mm Donn halafu na wewe Donn acha kuwafuatilia watu hapa naona nawe unanitafuta hebu kua uyaone weeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
my cousin charminglady hebu njoo uwasaidie hawa watu wawili Filipo na Donn sijui wana nini nami jamani sipendi uchokozi mwenzenu hamjui siku hizi nimebadilika jamani acheni kunichafua humu MMU tabia yangu haaaa njoo ndugu yangu uwaonye naona hawakupitia katika ile column niliyawapost hawa wanaume hawa haaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Tulia bibie!? Hilo jina unaitwa na sio unajiita. Kwahiyo usishtuke nikikuita! Unashtuka utadhani umeguswa mahali!?
nilijua tu Filipo usinitaje haipiti siiku niko katika kinywa chako sijui unataka kuniaharibia ndoa yangu na Mentor mm nasema sitaki kunitajataja Filipo
 
Last edited by a moderator:
nimeguswa wapi na nani aniguse bila ridhaa yangu halafu wewe Filipo namuachia Mungu maana naona una jambo na kitu nami
 
Last edited by a moderator:
Wekeni picha....
Sosi: sweetlady


huyo.jpegpicha hiyo kuna ziada? watu8
 
Last edited by a moderator:
Globu am dissapointed kwa ulichoandika hapa labda kama unatania! Watu walishapigwa ban kwa ajili ya huo uchafu unaoandika....mi kumcfia mwanamke ndo kisa cha ww kuandika huu -----?am nt interestd with ths rabbish unatafta ban isio na kichwa wala mkia!!!

This is CHIT CHAT!!!!!!
 
Back
Top Bottom