Kuachana au kutengana??

Kuachana au kutengana??

<p></p>
<p>&nbsp;</p>
hapo kwenye ukweli mwenzangu duh!siku hizi mtu akinitokea mi lazma anipe referees watatu na wenye mali zisizohamishika.manake kuna tapeli unakutana nalo unawekeza moyo,akili na mali zako afu unakuta kimeo.hivi kwenye mapenzi kwa nini tusitafute reference from the previous ex?ila we shldnt be biased sasa,lol!
Hivi kin'asti ukitokewa na mlugluga hana kitu inakuwaje hana mali lakini anaweza kuwa na mapenzi ya kweli kama mimi
 
CPU juzi liledua lako lituvutia kweli tukajua mwenzetu maji ya babu yamefanyakazi kwa ngufu ya miujiza leo umepata wapi andiko la kuwa wanaweza kupata mwingine wakujburudisha katika utengano

Ntinginya, mimi naongea hali halisi ambayo ipo ktk jamii.
Sio kwamba nashauri iwe hivyo, ila ukweli ni kwamba wanandoa wakitengana kimaisha huko walipo wanaweza wakapatwa na tamaa ya mwili na mtu yeyote anaevutiwa nae, ndio maana nimeandika hivyo. Ushauri wangu sio mtu kuzaa nje ya ndoa, au kuhalalisha utengano
 
Sipiyu kama ni sehemu ya shida si wavumiliane?Kama wameamua hawatakani tena waachane kabisa!
 
Sikubaliani na ulichosema wala sijakifurahia!!
nilitaka uthibitishe kwenye hii sredi kwamba mnapenda kufurahishwa na sio kuambiwa ukweli. na nazani umefanya hilo kwenye hii post, sasa unaweza ukaignore ile post yangu ili urudi katika hali yako ya kawaida. (hivi bado haujaamini tu kama mimi ni lawyer mzoefu?)
 
Sipiyu kama ni sehemu ya shida si wavumiliane?Kama wameamua hawatakani tena waachane kabisa!

Yaaah! Yapaswa wavumiliane mpaka kifo.
Lakin nyumba huwa nzuri iwapo itapata matunzo mazuri ikiwa pamoja na usafi, mapambo n.k.
Ikiachwa peke yake mbali haiwezi kuwa nyumba nzuri tena.
 
nilitaka uthibitishe kwenye hii sredi kwamba mnapenda kufurahishwa na sio kuambiwa ukweli. na nazani umefanya hilo kwenye hii post, sasa unaweza ukaignore ile post yangu ili urudi katika hali yako ya kawaida. (hivi bado haujaamini tu kama mimi ni lawyer mzoefu?)

:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
nilitaka uthibitishe kwenye hii sredi kwamba mnapenda kufurahishwa na sio kuambiwa ukweli. na nazani umefanya hilo kwenye hii post, sasa unaweza ukaignore ile post yangu ili urudi katika hali yako ya kawaida. (hivi bado haujaamini tu kama mimi ni lawyer mzoefu?)
Wala sio lazima nifurahie!Kama ni ukweli wako useme tu maana sio lazima uwe wangu!Hali yangu ya kawaida ndio kama hii...ngoja nikugongee senksi kabisa ufurahi!
 
Yaaah! Yapaswa wavumiliane mpaka kifo.
Lakin nyumba huwa nzuri iwapo itapata matunzo mazuri ikiwa pamoja na usafi, mapambo n.k.
Ikiachwa peke yake mbali haiwezi kuwa nyumba nzuri tena.
Wavumiliane mpaka kifo hata kama mambo hayavumiliki?Kisa cha kujitesa!
 
Wala sio lazima nifurahie!Kama ni ukweli wako useme tu maana sio lazima uwe wangu!Hali yangu ya kawaida ndio kama hii...ngoja nikugongee senksi kabisa ufurahi!
hebu smile basi kidogo! mtoto mzuri kama wewe hapendezi akinuna. kesho tunaenda lunch au ushasahau?
 
Wavumiliane mpaka kifo hata kama mambo hayavumiliki?Kisa cha kujitesa!

Ndio maana nikasema nyumba huwa nzuri iwapo itapata matunzo mazuri ikiwa pamoja na usafi, mapambo n.k. Ikiachwa peke yake mbali haiwezi kuwa nyumba nzuri tena.:tongue:
 
Na kama uzuri hamna?Yani haihangaikiwi tena?
 
Mchonganishi kweli!

hivi kumbe mazungumzo yote kwenye zile threads unakuwa uko serious>?? kama ni hivyo naomba unisamehe sana. Siipendi hii sifa. nilifikiri ni sehemu ya kutaniana hapa jamvini pamoja na kujifunza.

Ila kama ndo umeona hivyo, kwa kweli sijapendezwa na hiyo sifa..unisamehe sana. Samahani kwa yote!
 
Back
Top Bottom