NTINGINYA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2010
- 252
- 48
Haswaa lakini makamuzi kwa wingi akitoka hapo mweupeeee kama unga wa muhogoWee kwahiyo nimkabe hivyo hivyo?Alafu mkewe akija namwachia tu bika ugomvi ehh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaa lakini makamuzi kwa wingi akitoka hapo mweupeeee kama unga wa muhogoWee kwahiyo nimkabe hivyo hivyo?Alafu mkewe akija namwachia tu bika ugomvi ehh?
Hivi kin'asti ukitokewa na mlugluga hana kitu inakuwaje hana mali lakini anaweza kuwa na mapenzi ya kweli kama mimi<p></p>
<p> </p>
hapo kwenye ukweli mwenzangu duh!siku hizi mtu akinitokea mi lazma anipe referees watatu na wenye mali zisizohamishika.manake kuna tapeli unakutana nalo unawekeza moyo,akili na mali zako afu unakuta kimeo.hivi kwenye mapenzi kwa nini tusitafute reference from the previous ex?ila we shldnt be biased sasa,lol!
CPU juzi liledua lako lituvutia kweli tukajua mwenzetu maji ya babu yamefanyakazi kwa ngufu ya miujiza leo umepata wapi andiko la kuwa wanaweza kupata mwingine wakujburudisha katika utengano
nilitaka uthibitishe kwenye hii sredi kwamba mnapenda kufurahishwa na sio kuambiwa ukweli. na nazani umefanya hilo kwenye hii post, sasa unaweza ukaignore ile post yangu ili urudi katika hali yako ya kawaida. (hivi bado haujaamini tu kama mimi ni lawyer mzoefu?)Sikubaliani na ulichosema wala sijakifurahia!!
Sipiyu kama ni sehemu ya shida si wavumiliane?Kama wameamua hawatakani tena waachane kabisa!
nilitaka uthibitishe kwenye hii sredi kwamba mnapenda kufurahishwa na sio kuambiwa ukweli. na nazani umefanya hilo kwenye hii post, sasa unaweza ukaignore ile post yangu ili urudi katika hali yako ya kawaida. (hivi bado haujaamini tu kama mimi ni lawyer mzoefu?)
Wala sio lazima nifurahie!Kama ni ukweli wako useme tu maana sio lazima uwe wangu!Hali yangu ya kawaida ndio kama hii...ngoja nikugongee senksi kabisa ufurahi!nilitaka uthibitishe kwenye hii sredi kwamba mnapenda kufurahishwa na sio kuambiwa ukweli. na nazani umefanya hilo kwenye hii post, sasa unaweza ukaignore ile post yangu ili urudi katika hali yako ya kawaida. (hivi bado haujaamini tu kama mimi ni lawyer mzoefu?)
Wavumiliane mpaka kifo hata kama mambo hayavumiliki?Kisa cha kujitesa!Yaaah! Yapaswa wavumiliane mpaka kifo.
Lakin nyumba huwa nzuri iwapo itapata matunzo mazuri ikiwa pamoja na usafi, mapambo n.k.
Ikiachwa peke yake mbali haiwezi kuwa nyumba nzuri tena.
Ya nini tena?Kwani naenda wapi?
hebu smile basi kidogo! mtoto mzuri kama wewe hapendezi akinuna. kesho tunaenda lunch au ushasahau?Wala sio lazima nifurahie!Kama ni ukweli wako useme tu maana sio lazima uwe wangu!Hali yangu ya kawaida ndio kama hii...ngoja nikugongee senksi kabisa ufurahi!
Wavumiliane mpaka kifo hata kama mambo hayavumiliki?Kisa cha kujitesa!
Mi siijui hiyo jografia inakuwaje!
Na kama uzuri hamna?Yani haihangaikiwi tena?
Mchonganishi kweli!