Kuachana au kutengana??

Kuachana au kutengana??

hivi kumbe mazungumzo yote kwenye zile threads unakuwa uko serious>?? kama ni hivyo naomba unisamehe sana. Siipendi hii sifa. nilifikiri ni sehemu ya kutaniana hapa jamvini pamoja na kujifunza.

Ila kama ndo umeona hivyo, kwa kweli sijapendezwa na hiyo sifa..unisamehe sana. Samahani kwa yote!

Ngoja nipumzike maana naona JF imegeuka JeiEfu!
 
Labda kama ni ndoa ya kiislam, kiserikali ama kipagani. Kama ni ndoa ya kikristo hakuna kuachana hata hiyo 'kisheria' waliyoisema wachangiaji wengine hapo juu. Mkioana ndio 'ntolee hiyo', labda mmoja wenu afe. Au pengine uamue kubadili dini!
 
Hivi mkuu tushukulie umeoa ukiwa na miaka 26 ndowa yenu haikudum hata mtoto hakujaliwa kupata inakuwaje na hamruhusiwi kuowa tena mpaka afe mmojawenu na hafi mpaka unaanza kupinda mgongo itakuwaje hapo?

We unauliza swali ambalo majibu hayatakusaidia, ulipaswa kutuuliza kama unataka kuolewa na mtu mwenye ndoa au kuoa mke wa mtu unataka tukusaidia kisheria utaratibu unakuwaje. Sasa umejua hawajaachana ni mke au mume inakusaidia nini? Maswali ya huyu ni mbuzi au kondoo wakati unaona hayasaidii.
 
Hapo itabidi uendelee kukaa mpweke hivyo hivyo kama unataka kuendelea kuwa mkristo.

Ndoa ni mkataba na hivyo kuna masharti yake. Miaka 26 ni mtu mzima tayari na hivyo inategemewa ulikuwa ukifahamu 'gravity' ya aina ya mkataba unaoingia! Halafu ishu siyo mtoto ama la, kuna ndoa nyingi tu hazijavunjika lakini pia hazina watoto! Hivyo, unapooa lengo kuu sio kupata mtoto (kwani hao ni majaaliwa tu).
 
sheriia ni ile ile, ukikaa na binti kwa miezi mitatu ni mke, na ukitengana na mke au mume nonstop for 3 month hakuna ndoa hapo.
Aunt we kula kwa raha zako, kikubwa jua msimamo wa mwenzio. asiwe kigeugeu.
 
We unauliza swali ambalo majibu hayatakusaidia, ulipaswa kutuuliza kama unataka kuolewa na mtu mwenye ndoa au kuoa mke wa mtu unataka tukusaidia kisheria utaratibu unakuwaje. Sasa umejua hawajaachana ni mke au mume inakusaidia nini? Maswali ya huyu ni mbuzi au kondoo wakati unaona hayasaidii.

Wewe ndo unayeona hayatanisaidia ila binafsi yamenisaidia!
 
sheriia ni ile ile, ukikaa na binti kwa miezi mitatu ni mke, na ukitengana na mke au mume nonstop for 3 month hakuna ndoa hapo.
Aunt we kula kwa raha zako, kikubwa jua msimamo wa mwenzio. asiwe kigeugeu.

Mmh huu ni mtihani mwingine!Ina maana kama wametengana zaidi mwaka mume/mke hawezi kurudi na kudai anamtaka mwenzake kwa kisingizio cha kwamba wana ndoa bado?
 
sheriia ni ile ile, ukikaa na binti kwa miezi mitatu ni mke, na ukitengana na mke au mume nonstop for 3 month hakuna ndoa hapo.
Aunt we kula kwa raha zako, kikubwa jua msimamo wa mwenzio. asiwe kigeugeu.

naomba nieleweshwe hapo kwenye red kisheria
 
Sasa kwanini waishie kutengana kama wanataka kua na watu wengine?Si waachane kabisa!!!

Nadhani Mkuu ameelezea kwa namna nyingine ambayo nafikiri umeelewa.
Mimi pengine sijakuambia ya kwamba nilikuwa naongelea ndoa za kikristo ambazo sisi wakristo tunasema KILICHOUNGANISHWA NA MUNGU BINADAMU HAWEZI KUKITENGANISHA. Kwa kifupi, kwenye ndoa ya kikristo hakuna kuvunja ndoa, ni kifo tu pengine na kubadili dini. Kwa ndoa hizo za aina nyingine sina mchango maana sizijui zilivyo.
 
So here it is dear....
Mathayo 19 kwanzia mwanzo Yesu anaongelea jinsi ambavyo kilichounganishwa na Mungu mwanadamu asikitenganishe....ila mstari wa 9 unasema :Nami nawaambia ninyi,Kila mtu atakae mwacha mkewe isipokua ni kwasababu ya uasherati akaoa mwingine, azini, naye amuoae yule aliyeacha azini.
Kumbukumbu la torati 24:1-2 inasema....Mtu akiisha twaa mke kwa kumuoa, asipopata kibali machoni mwake kwa kua ameona neno ovu kwake na amwandikie hati ya kumwacha, akamtilie mkononi mwake na kumtoa katika nyumba yake.Naye akiisha kuondoka katika nyumba yake ana ruhusa kwenda akawa mke wa mtu mwingine.

Zipo sehemu nyingine zinazoongelea hivi vitabu viwili vinaelezea vizuri zaidi!!Alafu kote wanasema kwamba imeruhusiwa kwasababu ya ugumu wa moyo wa mwanadamu!!

There are always exceptions....even in the Bible!!!!
 
Lizzy na hayo ndo makosa makubwa sana ambayo huwa tunayafanya.X anaachana na Y kisha hawaendi mahakamani kuomba talaka.X anavuta kimwana mpya anaishi naye.Jamii nzima inawatambua kuwa ni 'mke' na 'mme'.Wanazaa watoto,wanalea na wakati huo huo wanafungua biashara wanajenga ,mradi maisha yanakuwa muruuuwa. Siku ya siku tena ghafla bin vuu mme ndee presha anadondoka chini na kurudi kwa muumba wake.Pekua pekua makabrasha mzee hakuacha mirathi.Hapo ngoma inogile maana so called ex-wife atatinga msibani na cheti chake cha ndoa, utake usitake yeye na wanae watarithi kila kitu na huyu aliyetafuta mali na marehemu ataambulia sifuri na wanae,law is an ass,mambo ya sheria hayo! Ushauri wa bure njemba/dem akikuzengua tafuta makaratasi kabisaa mahakamani,ikitokea baby come back hakuna kizuizi kaoaneni upya kwa DC.

na ni kwa nini wewe mwanamke ukaolewe na mume ambae hajaachana na mkewe kisheria? ulikua unaharaka gani? si usubiri waachane? na mwanaume vile vile kama kweli unataka kuoa mke ambae hajaachana kisheria mpe muda akuletee makaratasi ya talaka akishindwa basi una piga chini.
 
Inategemea hiyo ndoa imefunwa kwa utaratibu na sheria zipi,kwani ili muwe bado mke na mume itabidi muangalie utaratibu mliotumia kufunga ndoa yenu ndo mtajua kuwa bado ni mke na mume au la!
 
Lizzy.... run away fast... they are tracking each other .... ni hatari sana couple za aina hiyo, jamaa akikukuta atajua kuwa wewe ndio kududumtu, ulikuwa benhind their separation. Do not be a victim...
 
Hahahhahaha.....Okada bwana!!
Owkey ngoja nichape mwendo fastaaaaa!
 
of all the things my dear, i am nt obsessed juu ya hela. of coz mvuto mmojawapo wa mwanaume ni kujituma na kupambana bila kuchoka kuhakikisha maisha yake na ya familia yake binafsi yanakuwa endelevu. hijalishi ana nini sasa, bali anafanya juhudi gani kuhakikisha kesho yake inakuwa better kuliko jana.kama leo anauza maji na mkokoteni,anaota nini kuhusu kujenga kisima na kulima mboga mboga ili Mungu amuone? kwa mtizamo wangu hela zikiwa nyingi nazo zitaku-mess up tu. sorry, ddnt see this earlier..

Hivi kin'asti ukitokewa na mlugluga hana kitu inakuwaje hana mali lakini anaweza kuwa na mapenzi ya kweli kama mimi
 
as long as hawajaachana kisheria huyo ni mume/mke wa mtu,
na kwa wenzetu wakatoliki........
 
Back
Top Bottom