Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
waha mbona wako vizur au waha gani hao labda muha wa mjiniWaha wamekutenda na mineno juu
singo mama mambooMkutano wa nishati umekuja na breakups jamani.....pole kwa kukutangazia mabaya baada ya kuachana ndio walivyo binadamu
Sio Mimi .Waha wamekutenda na mineno juu
si unaona ametuma salamu kwa wahawaha mbona wako vizur au waha gani hao labda muha wa mjini
Mi niliachwa zamani nilishapona.nimekumbuka Tu yaaniHivi kwa nini mtu akiachwa anakuwa kama mwendawazimu... anaongea peke yake; utamkuta anarusha rusha mikono akitembea.... bora wewe umeamua kuandika. Pole banaaa
WA kasuluwaha mbona wako vizur au waha gani hao labda muha wa mjini
kumbe unafikisha ujumbe kwa niaba ya rafikiSio Mimi .
sasa kama unanuka k mtu asiseme?Kwenye mahusiano bwana waswahili wanasema kuna wakati rizki inafika mwisho
Kuachana siku zote kunasababishwa na mmoja.kuna mmoja wenu anakuwa hataki tena mahusiano.ila kuachana ni maamuzi ya mwisho nyie wawili
Sasa kuna watu wao ndo wanaosababisha mahusiano yafike mwisho ila akiulizwa anatoa sababu kwamba mwenzake ndo alifanya hivi na vile ili Hali anajua kabisa moyoni mwake yeye ndio sababu
Hii changamoto inamfanya aliesingiziwa kupoteza confidence maisha yake yote yaani
Kama humtaki mtu muache Tu usimtengenezee Maneno ambayo hayapo..
All in all watu wote ni sawa ila kuna makabila usijichanganye.
Acha waoane wenyewe kwa wenyewe.
Waha shikamoo na wale WA opposite yenu
Yes. Kikubwa kukubali kuachika na kusonga mbeleMi niliachwa zamani nilishapona.nimekumbuka Tu yaani