Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #21
Ndo hivo mkuu.bora umenielewa .inauma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivo mkuu.bora umenielewa .inauma sana
Poa mzima kabisa shosti???singo mama mamboo
bado unajiuza nije pm au ushaacha?Poa mzima kabisa shosti???
Sijaacha bado nikiacha nitakula wapi shoga angu.......bado unajiuza nije pm au ushaacha?
Aisee nimecheka hadi machoziAsubuhi yote hii watu hata hatujasukutua, wengine mshaumizwa na mapenzi?
Huo mkutano wa nishati mtaweza kufuatilia kweli?
KUmbeeHivi kwa nini mtu akiachwa anakuwa kama mwendawazimu... anaongea peke yake; utamkuta anarusha rusha mikono akitembea.... bora wewe umeamua kuandika. Pole banaaa
Master mind nimeipenda hiyo una akili nying sanaKwenye mahusiano bwana waswahili wanasema kuna wakati rizki inafika mwisho
Kuachana siku zote kunasababishwa na mmoja.kuna mmoja wenu anakuwa hataki tena mahusiano.ila kuachana ni maamuzi ya mwisho nyie wawili
Sasa kuna watu wao ndo wanaosababisha mahusiano yafike mwisho ila akiulizwa anatoa sababu kwamba mwenzake ndo alifanya hivi na vile ili Hali anajua kabisa moyoni mwake yeye ndio sababu
Hii changamoto inamfanya aliesingiziwa kupoteza confidence maisha yake yote yaani
Kama humtaki mtu muache Tu usimtengenezee Maneno ambayo hayapo..
All in all watu wote ni sawa ila kuna makabila usijichanganye.
Acha waoane wenyewe kwa wenyewe.
OkKwenye mahusiano bwana waswahili wanasema kuna wakati rizki inafika mwisho