Kuachana kupo ila usimsingizie mwenzio uongo

We utajua namna utajifafanua huko mbele ila mi nitakusema hakuna namna nijipe ubaya
 
Kwenye mahusiano bwana waswahili wanasema kuna wakati rizki inafika mwisho
Kuachana siku zote kunasababishwa na mmoja.kuna mmoja wenu anakuwa hataki tena mahusiano.ila kuachana ni maamuzi ya mwisho nyie wawili
Sasa kuna watu wao ndo wanaosababisha mahusiano yafike mwisho ila akiulizwa anatoa sababu kwamba mwenzake ndo alifanya hivi na vile ili Hali anajua kabisa moyoni mwake yeye ndio sababu
Hii changamoto inamfanya aliesingiziwa kupoteza confidence maisha yake yote yaani
Kama humtaki mtu muache Tu usimtengenezee Maneno ambayo hayapo..
All in all watu wote ni sawa ila kuna makabila usijichanganye.
Acha waoane wenyewe kwa wenyewe.
Master mind nimeipenda hiyo una akili nying sana
 
Ok
 
Ila wanawake ndio mara nyingi husingizia sana wanaume, ili mradi tu umuoneee huruma. Anaweza hata kusema alitaka kunila tigo
 
Back
Top Bottom