Mada inasemaje... Hahahaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€!
Auweeeeeeeeeeehh Mdude huo nakubalijeeee kirahisiiiiiπππ!
Nilikua naomba Lolote likukute chezeiyaaa wivo weweeeπ€£π€!
Mungu si Jf banaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!
Hafi mtu hapa ulipo nipo love iwe pepo iwe moto!
Ukikuta wqzi soda toka kiwandani jua ina mwenye nayo.Mimi najua baisko πΉ
Kuniita shemeji tu, kumwambia ndugu yenu anioe aah π€£
Uko sahihi.Mahusiano ni mchezo wa kutafutana ambapo kwa washiriki wa mchezo huo wengi hawajui nani wanamtafuta ndio maana unakuta hawa leo wanapendana ila kesho wanaaachana kwa sababu kuwa hawaendani sasa swali ni je kama ulijua hamuendani kwnini ulimpa nafasi?
Majibu ni mepesi kuwa wengi tunajua kuwa tulipo sipo baada ya kuwa ndani ya mfumo wa mahusiano ndio unaona huyo sio wako kumbe bali ni wa mwingine na hapo ndipo kuna kuachana au kuvumulia huku ukilalamika ishara kuwa unavumilia tu kwa sababu huna pakwenda.
Kuna watu ambao ni wazito kukubali matokeo na hawa ni wale ambao huwa wanaamini kuwa Dunia nzima wapo wao tu hivyo mkiachana wanaanza kukutamkia laana za kila namna kama vile:
# Sidhani kama utapata tena mwanamke/mwanaume kama mimi.
# Utakuwa maskini wa kutupa na kila mwanamke/mwanaume atakukataa.
# Maisha yako yatakuwa ya hovyo sana huwezi kuniacha mimi na Mungu akupe maisha mazuri.
Hiyo ni mifano tu ila hiwa yanatamkwa mengi sana lakini kwanini yote hayo? Huu ndio mchezo wa mahusiano sio uhakika kumaliza na uliye anza naye.
Taarifa mbaya ni kuwa wengi unaowatamkia hawapati hizo laana tena huwa wanafanikiwa tu vizuri na mahusiano mapya mpaka wanasahau kuwa umewahi kuwa naye kimahusiano katika historia yake.
Ni kweli kuna usaliti mbaya huwa unatokea ila usijisumbue kutamka laana za kila namna bali acha tu uhalisia uje kuongea kama kweli atastahili kulipwa kwa mabaya yake basi atalipwa iwe umetamka ama hukumtamkia.
Mwanasayansi Saul kalivubha
Instagram @fikia ndoto zako
πMsaliti dawa yake ni kifo ikishindika mulaani
βοΈUko sahihi.
Unaachana na mtu kwa amani.
Unafuta contact zake zote.
Na unajitenga naye kabisa unless awe na tatizo la msiba na umeliconfirm .
π π€£ π πBongo hakuna kuachana kwa wema lazima tukulaani πΉπΉ
Mimi ex wangu nishamlaani mpk kizazi chake cha ishirini, hawezi kuniacha kirahisi wakati ananikojoza vizuri.
Na watoto wake wa kike na wajukuu zake wote wafanywe fanywe wapewe mimba wasiolewe.
Na wajukuu zake wa kiume wote wawe mapunga, na yeye mwenyewe akifika uzeeni aolewe na kibabu chochote kile kiwe kinamkaza. π€£π€£π€£
KabisaOmbea Adui yako aishi siku nyingi ili unapofanikiwa ajionee baraka
Mara nyingi ukimuombea mema kwako Baraka zinafunguka maana moyo unaachilia maana yake umeruhusu msamaha
Kinachobaki ni maamuzi ya Mungu ambariki ama amlaani
Mimi najua baisko πΉ
Kuniita shemeji tu, kumwambia ndugu yenu anioe aah π€£π€£ π€£ π€£ π€£
Mimi mpaka alimwambiaga rafiki yangu "shemu utaona kama ninachosema ni uongo" sasa wakati naanza nae alikua na mtoto wa mwaka mmoja, wa kike, umeishi kwa vitimbwi ngendembwe za kutosha mara kaenda kwa ex wake mara kaanzisha mpya yaani tafrani, ila mimi nikawa karibu sana na watoto bila kubagua yule niliyemkuta, na nimekuwa nikmisihi sana yule mtoto baada ya kuwa sasa ni mkubwa azingatie elimu, kuna kipindi nilipitia nyakati nguvu kama miezi minne hivi, yule mwanamke akasema yeye anaondoka nikasema beba kila kitu niache kama nilivyo tu na nguo zangu tu, wakati huo bint huyu amefika kidato cha pili, hatukukaa kitambo naambiwa yule binti amekuwa huru mno kapigwa mimba, mamake akanipigia simu nikamwambia "Hongereni" sasa nifanyeje nikamwambia anatakiwa aende shule, akamchomoa mimba akaendelea na school, nikamwambia ameiga tabia zako na sasa umemfundisha kutoa mimba endelea kusubiri matokeo, nikamsaidia tu kumhamisha shule, juzi kanipigia tena amejifungua katoto miezi saba kameishi siku moja kamekufa! Na yuko kidato cha nne anafanya mtihani mwaka huu, Nilimuonea huruma binti, lakini nikasema moyoni haya ndo majibu ya yale matamshi magumu kwangu mbele ya rafiki yangu.Mahusiano ni mchezo wa kutafutana ambapo kwa washiriki wa mchezo huo wengi hawajui nani wanamtafuta ndio maana unakuta hawa leo wanapendana ila kesho wanaaachana kwa sababu kuwa hawaendani sasa swali ni je kama ulijua hamuendani kwnini ulimpa nafasi?
Majibu ni mepesi kuwa wengi tunajua kuwa tulipo sipo baada ya kuwa ndani ya mfumo wa mahusiano ndio unaona huyo sio wako kumbe bali ni wa mwingine na hapo ndipo kuna kuachana au kuvumulia huku ukilalamika ishara kuwa unavumilia tu kwa sababu huna pakwenda.
Kuna watu ambao ni wazito kukubali matokeo na hawa ni wale ambao huwa wanaamini kuwa Dunia nzima wapo wao tu hivyo mkiachana wanaanza kukutamkia laana za kila namna kama vile:
# Sidhani kama utapata tena mwanamke/mwanaume kama mimi.
# Utakuwa maskini wa kutupa na kila mwanamke/mwanaume atakukataa.
# Maisha yako yatakuwa ya hovyo sana huwezi kuniacha mimi na Mungu akupe maisha mazuri.
Hiyo ni mifano tu ila hiwa yanatamkwa mengi sana lakini kwanini yote hayo? Huu ndio mchezo wa mahusiano sio uhakika kumaliza na uliye anza naye.
Taarifa mbaya ni kuwa wengi unaowatamkia hawapati hizo laana tena huwa wanafanikiwa tu vizuri na mahusiano mapya mpaka wanasahau kuwa umewahi kuwa naye kimahusiano katika historia yake.
Ni kweli kuna usaliti mbaya huwa unatokea ila usijisumbue kutamka laana za kila namna bali acha tu uhalisia uje kuongea kama kweli atastahili kulipwa kwa mabaya yake basi atalipwa iwe umetamka ama hukumtamkia.
Mwanasayansi Saul kalivubha
Instagram @fikia ndoto zako
laana hisiyo na sababu haiwezi mpata mtu pia mshahara wa dhambi ni mauti huwezi kuwa unazini ovyo then useme unamlaani mtu hiyo ni dhambi pia Mwenyezi Mungu hapendi uzinzi ni dhambiBongo hakuna kuachana kwa wema lazima tukulaani πΉπΉ
Mimi ex wangu nishamlaani mpk kizazi chake cha ishirini, hawezi kuniacha kirahisi wakati ananikojoza vizuri.
Na watoto wake wa kike na wajukuu zake wote wafanywe fanywe wapewe mimba wasiolewe.
Na wajukuu zake wa kiume wote wawe mapunga, na yeye mwenyewe akifika uzeeni aolewe na kibabu chochote kile kiwe kinamkaza. π€£π€£π€£
Wewe ni nyau bikra?laana hisiyo na sababu haiwezi mpata mtu pia mshahara wa dhambi ni mauti huwezi kuwa unazini ovyo then useme unamlaani mtu hiyo ni dhambi pia Mwenyezi Mungu hapendi uzinzi ni dhambi
Au sio? Humu tu πΉAlafu wengi wenye mambo ya kuaacha laana wanakuwaga ni underground kwenye mapenzi yaani ni washamba
Uwezi kuta mtu mzoefu alafu anakuambia maneno ""utopata mwingine kama mimi"" na maneno mengi ujue kweli huyo alipenda.
Sasa hao mi ndo nawapendaga maana mtu anayekutamkia hvo kama ni wa kike hao wanakuwaga ma ex wa faida maana unaweza kujilia tena na tena ukija na kauli za kujifanya kweli ujapata kama yeye..
Atakua anahisi ufahali kumbe hamna kitu kuddake ni kula tuu
Unajilia tuu mkuu....Au sio? Humu tu πΉ
Kweli kabisaMimi mpaka alimwambiaga rafiki yangu "shemu utaona kama ninachosema ni uongo" sasa wakati naanza nae alikua na mtoto wa mwaka mmoja, wa kike, umeishi kwa vitimbwi ngendembwe za kutosha mara kaenda kwa ex wake mara kaanzisha mpya yaani tafrani, ila mimi nikawa karibu sana na watoto bila kubagua yule niliyemkuta, na nimekuwa nikmisihi sana yule mtoto baada ya kuwa sasa ni mkubwa azingatie elimu, kuna kipindi nilipitia nyakati nguvu kama miezi minne hivi, yule mwanamke akasema yeye anaondoka nikasema beba kila kitu niache kama nilivyo tu na nguo zangu tu, wakati huo bint huyu amefika kidato cha pili, hatukukaa kitambo naambiwa yule binti amekuwa huru mno kapigwa mimba, mamake akanipigia simu nikamwambia "Hongereni" sasa nifanyeje nikamwambia anatakiwa aende shule, akamchomoa mimba akaendelea na school, nikamwambia ameiga tabia zako na sasa umemfundisha kutoa mimba endelea kusubiri matokeo, nikamsaidia tu kumhamisha shule, juzi kanipigia tena amejifungua katoto miezi saba kameishi siku moja kamekufa! Na yuko kidato cha nne anafanya mtihani mwaka huu, Nilimuonea huruma binti, lakini nikasema moyoni haya ndo majibu ya yale matamshi magumu kwangu mbele ya rafiki yangu.
Kuwa mtulivu nyakati ziseme tu.
Ni ujinga akikua ataacha msamehe, muache aende ampate mume atakayemfaa.Unajilia tuu mkuu....
Yaani serious sitopata mwingine kama wewe ahahahahhahahaha
Sioi mimi....Ni ujinga akikua ataacha msamehe, muache aende ampate mume atakayemfaa.
Na wewe mkeo ataliwa na maex zake, dunia inazunguka ujue.