Kuachana na mtu na kuanza kumtakia laana huo ni ushamba wa kizamani na kujipa jeraha lisilo la lazima

Kuachana na mtu na kuanza kumtakia laana huo ni ushamba wa kizamani na kujipa jeraha lisilo la lazima

Ila kuna raha yake kuachana kwa timbwili......

"Nenda mbwaaa wewe wala sikukupenda nilikua nimepata tu pa kitolea upwiru"

"....nyoooo alokwambia anakupenda nani sasa, mwenyewe nlikua nataka tu hela zako hata kutmb hujui nmekaa na wewe miaka mitatu sijawahi hata kukojoa kafie mbele kule"

"na urudishe jeans zote nlizokununulia hata kile kitenge nilimnunulia mamako mwambie nakitaka" asee raha 😁 kwako Atoto unapenda kuachana kwa amani??

Nyie natafuta mpenzi 😔😔 nipo serious.
Ahahahahahhahah kuna mmoja alisema "" hata jina lako sikifahamu """

Huwa nashangaa yote hayo yanakuja wapi et mpaka kunitolea maneno ya nguoni kama hayo et....
 
Mimi mpaka alimwambiaga rafiki yangu "shemu utaona kama ninachosema ni uongo" sasa wakati naanza nae alikua na mtoto wa mwaka mmoja, wa kike, umeishi kwa vitimbwi ngendembwe za kutosha mara kaenda kwa ex wake mara kaanzisha mpya yaani tafrani, ila mimi nikawa karibu sana na watoto bila kubagua yule niliyemkuta, na nimekuwa nikmisihi sana yule mtoto baada ya kuwa sasa ni mkubwa azingatie elimu, kuna kipindi nilipitia nyakati nguvu kama miezi minne hivi, yule mwanamke akasema yeye anaondoka nikasema beba kila kitu niache kama nilivyo tu na nguo zangu tu, wakati huo bint huyu amefika kidato cha pili, hatukukaa kitambo naambiwa yule binti amekuwa huru mno kapigwa mimba, mamake akanipigia simu nikamwambia "Hongereni" sasa nifanyeje nikamwambia anatakiwa aende shule, akamchomoa mimba akaendelea na school, nikamwambia ameiga tabia zako na sasa umemfundisha kutoa mimba endelea kusubiri matokeo, nikamsaidia tu kumhamisha shule, juzi kanipigia tena amejifungua katoto miezi saba kameishi siku moja kamekufa! Na yuko kidato cha nne anafanya mtihani mwaka huu, Nilimuonea huruma binti, lakini nikasema moyoni haya ndo majibu ya yale matamshi magumu kwangu mbele ya rafiki yangu.
Kuwa mtulivu nyakati ziseme tu.
Yaliyompata ni laana za matendo mazuri kwake ila yeye alikufanyia ubaya. Universe imefanya kazi yake.
 
Ahahahahahhahah kuna mmoja alisema "" hata jina lako sikifahamu """

Huwa nashangaa yote hayo yanakuja wapi et mpaka kunitolea maneno ya nguoni kama hayo et....
Rahaaa kama nlikununulia mapazia basi nayatoa nabeba unabaki tu na zike stiki, stendi ya tv nabeba tv yako inakaa chini 😹😹😹
 
Ila kuna raha yake kuachana kwa timbwili......

"Nenda mbwaaa wewe wala sikukupenda nilikua nimepata tu pa kutolea upwiru"

"....nyoooo alokwambia anakupenda nani sasa, mwenyewe nlikua nataka tu hela zako hata kutmb hujui nmekaa na wewe miaka mitatu sijawahi hata kukojoa kafie mbele kule"

"na urudishe jeans zote nlizokununulia hata kile kitenge nilimnunulia mamako mwambie nakitaka" asee raha [emoji16] kwako Atoto unapenda kuachana kwa amani??

Nyie natafuta mpenzi [emoji17][emoji17] nipo serious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sioi mimi....
Alafu kingine mkuu huwa nimeapa kuwa takuja miliki pipe hivo hao wa kula wake za watu aiseee ...

Siongei sana piga pipe ya matrakoooo
Km huoi usile maex zako, hao ni wake na wapenzi wa watu wengine.
Kibao kitageuka ubao utasoma mbili kwa mbili, moja kwa sifuri
 
Kuna hao ma Ex ving'ang'a, una achana nae kwa amani tyuuh, na kuamua kuishi life lako bila yeye, ila yeye anaanza kukufata fata na kukusumbua kwann usimpe varangati? Si kalitaka mwenyewe bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila kuna raha yake kuachana kwa timbwili......

"Nenda mbwaaa wewe wala sikukupenda nilikua nimepata tu pa kutolea upwiru"

"....nyoooo alokwambia anakupenda nani sasa, mwenyewe nlikua nataka tu hela zako hata kutmb hujui nmekaa na wewe miaka mitatu sijawahi hata kukojoa kafie mbele kule"

"na urudishe jeans zote nlizokununulia hata kile kitenge nilimnunulia mamako mwambie nakitaka" asee raha 😁 kwako Atoto unapenda kuachana kwa amani??

Nyie natafuta mpenzi 😔😔 nipo serious.
Mbili kwa mbili, MBILI 😂😂😂
Hapo mkiachana kwa style hiyo mnarudiana muda wowote.!! Nimeshuhudia wengi wanaotoleana shit waongo waongo, siku mbili wamerudiana.
 
Km huoi usile maex zako, hao ni wake na wapenzi wa watu wengine.
Kibao kitageuka ubao utasoma mbili kwa mbili, moja kwa sifuri
Ahahahahah mkuu kuna kitu ujajua tuu....
Mi nitakula ma ex ni vile tuu kama nanyeye ajitambui ila kama yupo serious anajua kuwa kile kitendo ni unfair basi awe serious mkuu...

Yaani niogope kula kisa na mi wangu atakuja kuliwa... Never hapenoooooooooooo
 
Kuna mtu nilimuachaga ikawa kila nikikutana nae lazma nimrushie jiwe.... Akawa akiniona tu lazma akimbie hata kama yupo na watu 😹😹😹
Bro unazingua 😹😹
Mimi nilimtukana na kumtolea mbovu ex wangu, alisema nikikutana na wewe nakutia mimba ndio kosa nililofanya ndiomana unanidharau.!!

Toka hapo sitaki mazoea naye hata akinikuta restaurant nakimbia, kuna siku tulikutana Zanzibar nikahama ile hotel. Simpendi asije kunipa mimba kweli nikalizaa.!!
 
Ahahahahah mkuu kuna kitu ujajua tuu....
Mi nitakula ma ex ni vile tuu kama nanyeye ajitambui ila kama yupo serious anajua kuwa kile kitendo ni unfair basi awe serious mkuu...

Yaani niogope kula kisa na mi wangu atakuja kuliwa... Never hapenoooooooooooo
Sasa km mnapendana kwanini mliachana??
Kwahiyo wewe ni “Humu tu” kweli wanaume hampendani!!
Yani unakula mke wa mwenzio? 😹
 
Back
Top Bottom