Kuachana na mtu na kuanza kumtakia laana huo ni ushamba wa kizamani na kujipa jeraha lisilo la lazima

Ahahahahahhahah kuna mmoja alisema "" hata jina lako sikifahamu """

Huwa nashangaa yote hayo yanakuja wapi et mpaka kunitolea maneno ya nguoni kama hayo et....
 
Yaliyompata ni laana za matendo mazuri kwake ila yeye alikufanyia ubaya. Universe imefanya kazi yake.
 
Ahahahahahhahah kuna mmoja alisema "" hata jina lako sikifahamu """

Huwa nashangaa yote hayo yanakuja wapi et mpaka kunitolea maneno ya nguoni kama hayo et....
Rahaaa kama nlikununulia mapazia basi nayatoa nabeba unabaki tu na zike stiki, stendi ya tv nabeba tv yako inakaa chini 😹😹😹
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sioi mimi....
Alafu kingine mkuu huwa nimeapa kuwa takuja miliki pipe hivo hao wa kula wake za watu aiseee ...

Siongei sana piga pipe ya matrakoooo
Km huoi usile maex zako, hao ni wake na wapenzi wa watu wengine.
Kibao kitageuka ubao utasoma mbili kwa mbili, moja kwa sifuri
 
Kuna hao ma Ex ving'ang'a, una achana nae kwa amani tyuuh, na kuamua kuishi life lako bila yeye, ila yeye anaanza kukufata fata na kukusumbua kwann usimpe varangati? Si kalitaka mwenyewe bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbili kwa mbili, MBILI 😂😂😂
Hapo mkiachana kwa style hiyo mnarudiana muda wowote.!! Nimeshuhudia wengi wanaotoleana shit waongo waongo, siku mbili wamerudiana.
 
Mbili kwa mbili, MBILI 😂😂😂
Hapo mkiachana kwa style hiyo mnarudiana muda wowote.!! Nimeshuhudia wengi wanaotoleana shit waongo waongo, siku mbili wamerudiana.
Kuna mtu nilimuachaga ikawa kila nikikutana nae lazma nimrushie jiwe.... Akawa akiniona tu lazma akimbie hata kama yupo na watu 😹😹😹
 
Km huoi usile maex zako, hao ni wake na wapenzi wa watu wengine.
Kibao kitageuka ubao utasoma mbili kwa mbili, moja kwa sifuri
Ahahahahah mkuu kuna kitu ujajua tuu....
Mi nitakula ma ex ni vile tuu kama nanyeye ajitambui ila kama yupo serious anajua kuwa kile kitendo ni unfair basi awe serious mkuu...

Yaani niogope kula kisa na mi wangu atakuja kuliwa... Never hapenoooooooooooo
 
Kuna mtu nilimuachaga ikawa kila nikikutana nae lazma nimrushie jiwe.... Akawa akiniona tu lazma akimbie hata kama yupo na watu 😹😹😹
Bro unazingua 😹😹
Mimi nilimtukana na kumtolea mbovu ex wangu, alisema nikikutana na wewe nakutia mimba ndio kosa nililofanya ndiomana unanidharau.!!

Toka hapo sitaki mazoea naye hata akinikuta restaurant nakimbia, kuna siku tulikutana Zanzibar nikahama ile hotel. Simpendi asije kunipa mimba kweli nikalizaa.!!
 
Sasa km mnapendana kwanini mliachana??
Kwahiyo wewe ni “Humu tu” kweli wanaume hampendani!!
Yani unakula mke wa mwenzio? 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…