Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Nakula kwa sababu nayeye mzembe anaowaje mwanamke ajitambui...Sasa km mnapendana kwanini mliachana??
Kwahiyo wewe ni “Humu tu” kweli wanaume hampendani!!
Yani unakula mke wa mwenzio? 😹
Maex wanasaidiana nini zaidi ya kuwekana sub muda wowote akitaka akutumie kukutanisha vikojoleo 😹Inatakiwa muachane kwa amani hata kesho mnaweza saidiana
Kosa la mwanaume, kwann usimamishe mkuki kwenye boma sio lako??Nakula kwa sababu nayeye mzembe anaowaje mwanamke ajitambui...
Mkuu hivi mwanamke kuliwa na jamaa na yeye ameolewa ni kosa la mwanamke au kosa la yule aliye mla ...?
Udhalilike vipi we fanya kununua vyako 😁Shame upon you....
Una mambo ya ajabu sana aisee ahahahha haya pokonya kila kitu nidhalilike sasa
Kama yeye kaolewa kilicho mkuna kuna nini kukubali...Kosa la mwanaume, kwann usimamishe mkuki kwenye boma sio lako??
Km uliona anakufaa si ungemuoa
Shame upon you...Udhalilike vipi we fanya kununua vyako 😁
Natafuta mpenzi dear.....Shame upon you...
Nilijua toka mda kuwa wewe mtata mtata alafu mkorofi by natural aiseeee
Ahahahah
😹😹😹 We mkurya?Kama yeye kaolewa kilicho mkuna kuna nini kukubali...
Alafu mkuu ni vile upo mbali ila hii mda ilibidi uwe unajibu ukiwa unalia maana unakera sana alaaah
I can't handle..Natafuta mpenzi dear.....
AahaaaBongo hakuna kuachana kwa wema lazima tukulaani 😹😹
Mimi ex wangu nishamlaani mpk kizazi chake cha ishirini, hawezi kuniacha kirahisi wakati ananikojoza vizuri.
Na watoto wake wa kike na wajukuu zake wote wafanywe fanywe wapewe mimba wasiolewe.
Na wajukuu zake wa kiume wote wawe mapunga, na yeye mwenyewe akifika uzeeni aolewe na kibabu chochote kile kiwe kinamkaza. 🤣🤣🤣
Am so lovely, mpole, mtiifu, mnyenyekevu.....nabembeleza hadi utaogopa.I can't handle..
Wewe mkuda.
Wewe mkorofi
Wewe una command
Ukute unapigaga wanaume wewe
Ahahahhaa mi mnyamwezi pure...😹😹😹 We mkurya?
Sasa nilie kwa lipi? Kwahiyo nisikuswalike?!!
Wewe ni huyo ex wako wote nyie ni wazinzi. Mnawapotezea muda wenza wenu.
Km mnapendana oaneni
Hamna kitu kama hicho wewe...Am so lovely, mpole, mtiifu, mnyenyekevu.....nabembeleza hadi utaogopa.
Kumbe ndugu yangu na mimi mnyamwezi ila kwa bibi uko mbali sana.!! 😹Ahahahhaa mi mnyamwezi pure...
Ila tuu kuna mda mdada anapokuwa haelewi somo lazima nipige kwanza ...
Sasa wewe naona kabisa huelewi..
Mwanaume kaumbiwa tamaa ujue.. natural
Ahahahah alafu unakua unajibu jibu tu illegally kwa blaza wako hapa...Kumbe ndugu yangu na mimi mnyamwezi ila kwa bibi uko mbali sana.!! 😹
Hata wanawake wameumbiwa tamaa pia ndiomana unapozini unazini na mwanamke.!!
Nasemaje oa huyo ex wako kurahisisha wenzi wenu kutafuta na wao wa kuwafit
🤣🤣🤣🤣🤣Ila kuna raha yake kuachana kwa timbwili......
"Nenda mbwaaa wewe wala sikukupenda nilikua nimepata tu pa kutolea upwiru"
"....nyoooo alokwambia anakupenda nani sasa, mwenyewe nlikua nataka tu hela zako hata kutmb hujui nmekaa na wewe miaka mitatu sijawahi hata kukojoa kafie mbele kule"
"na urudishe jeans zote nlizokununulia hata kile kitenge nilimnunulia mamako mwambie nakitaka" asee raha 😁 kwako Atoto unapenda kuachana kwa amani??
Nyie natafuta mpenzi 😔😔 nipo serious.
Mm nakusubr ww unizalie pacha🤣🤣🤣🤣🤣
Nchi imepoa sana angalau timbwili kidogo ili kuchangamshana.
Kuna Mpaji Mungu nae anatafuta mpenzi😊
Weeeeh! Mie mayai yote yalishaisha.Mm nakusubr ww unizalie pacha
Tutafanya drilling & maombi juu, Sara alizaaa akiwa kikongwe....kwako ww mwenye 31yrs hakishindikani jamboWeeeeh! Mie mayai yote yalishaisha.
Umenishinda tabia🤣🤣🤣Tutafanya drilling & maombi juu, Sara alizaaa akiwa kikongwe....kwako ww mwenye 31yrs hakishindikani jambo