Kuachana na Siasa nakuja kivingine kupitia Vitabu nilivyosoma 2019: ntawalisha maarifa

Kuachana na Siasa nakuja kivingine kupitia Vitabu nilivyosoma 2019: ntawalisha maarifa

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Nimesoma vitabu 17 Mwaka 2019 nimepata maarifa kadhaa tutagawana hapa na kuelekezana kistaarabu

images (94).jpeg

1.The Black mass-John le Carré: huyu mwandishi anaelezea kwamba kabla ya uvamizi Wa Iraq America walijua fika kwamba hakukuwa na Silaha za Nyukilia ndani ya Iraq ilikuwa ni mbinu ya america kuiangamiza Iraq na utawala wa kiislamu

2.Travel Into Bhokara - Alexander Bune,

Mwandishi anaeleza (Alexander Bune Mwingeleza) alivyosafiri karne ya 19 kupeleleza maeneo ya Bhokara Asia, mpelelezi huyu alizijua lugha sana, siyo kama mpelelezi wa awali Lawrence huko Uarabuni, ambaye hakuwa mzuri kwenye Lugha, Kitabu kinaelezea uingiaji Afghanistan, na maeneo ya Pakistan.upelelezi ndani ya Peshawar mpaka bhakara, ni kazi kubwa ya kiutafit na intelijensia ilofanyika.kitabu kinaeleza maajabu Aliyoyaona kupitia upelelezi wake.

3.The Insurrection in Mesopotamia
by Aylmer Haldane

Kitabu kinaeleza kuwa matatizo tunayoyaona sasa hivi ndani ya Mashariki ya kati hasa irak hayana tofauti na yalivyoibuka mwanzo (Shia uprising)
Hivyo waingereza na Wamarekani ndo awakuwa wabunifu na wajuzi kuwa hakuna kilichobadilika, ila ni Nyakati tu

4.The Tartar Steppe
by Dinno Buzzati
Mwandishi anaeleza jinsi waitaliano walivyoji mwambafy kuwa wao wanaweza kila kitu kwenye ujasusi lakin walikuja kugundua sivyo, anaeleza chamgamoto wanazopata maspy

5.The Future Energy-Scientific America, Earth wind and Fire

6.The Christian Science monitor

7.Deep Space mysteries -Astronomy

8.the Fantasy and Science Fiction
9.Luxembourg Innovation is out of this world

10.horisont 1987 Estonia based Scientific America

11.Physics Today , The search for magnetic monopoles

12. Self Tough Robots-Scientific America,

13. Are you a Hologram? - Scientific America,

14. Whose water is It, Anyway, Taking water into public hand

15. click here to Kill -Harper's

16.Rough Magic: Riding the World's Loneliest Horse Race

17.I miss you when i Blink

Britanicca
 
Sure madam Rebeca 83 siko kwenye siasa tena naanza mambo yangu binafsi

Hongera mwaya..sijasema kwa ubaya...but its good lol...kama umeachana na siasa veeery good,mkuu siasa Tanzania ni uonevu wa serikali/utekaji,flyover,na ndege...these themes zinachosha..kama umeamua kuachana nazo..trust me unajiongezea miaka katika umri wako wa kuishi..LOL
 
Sure sigain chochote zaid ya kupoteza Muda
 
Hongera mwaya..sijasema kwa ubaya...but its good lol...kama umeachana na siasa veeery good,mkuu siasa Tanzania ni uonevu wa serikali/utekaji,flyover,na ndege...these themes zinachosha..kama umeamua kuachana nazo..trust me unajiongezea miaka katika umri wako wa kuishi..LOL
Hivi unajua kiundani politics ni nini???

Politics sio utawala bora.
Politics sio udikteta

Na britanicca nadhan hajui exactly what is politics ndo maana anasema anaiacha
 
Hongera mwaya..sijasema kwa ubaya...but its good lol...kama umeachana na siasa veeery good,mkuu siasa Tanzania ni uonevu wa serikali/utekaji,flyover,na ndege...these themes zinachosha..kama umeamua kuachana nazo..trust me unajiongezea miaka katika umri wako wa kuishi..LOL

🤣🤣🤣🤣 siasa za Africa unaweza pata kisukari kbs..chefuu!
 
Politics is the art of looking for trouble, finding it everywhere, diagonising it incorrectly and applying wrong remedies

-G Marx

Sema mkuu britanicca kama hio "The black mass" unayo softcopy yake naomba uweke link coz kisa chake kinaonekana ni safi sana. Nadhan kitakua kinaongelea baadhi ya mbinu za kiintelijensia za USA zilizotumiwa iraq
 
Politics is the art of looking for trouble, finding it everywhere, diagonising it incorrectly and applying wrong remedies

-G Marx

Sema mkuu britanicca kama hio "The black mass" unayo softcopy yake naomba uweke link coz kisa chake kinaonekana ni safi sana. Nadhan kitakua kinaongelea pia baadhi ya mbinu za kiintelijensia za USA
Nina hard copy niliipata Sweden Kwenye Gymnasium school Jokkmokk nilipowatembelea
 
Politics is the art of looking for trouble, finding it everywhere, diagonising it incorrectly and applying wrong remedies

-G Marx

Sema mkuu britanicca kama hio "The black mass" unayo softcopy yake naomba uweke link coz kisa chake kinaonekana ni safi sana. Nadhan kitakua kinaongelea baadhi ya mbinu za kiintelijensia za USA zilizotumiwa iraq
Yes kimegusia mbinu za USA kwenye kusambaratisha mataifa yanayobukia
 
Kwanini Mkuu wangu
Mkuu mi msomaji wa vitabu mzuri sana,
Mwaka huu ni mesoma vichache kulinganisha na miaka iliyopita, nadhani ipo siku tutatembeleana ukipata fursa ya kuja Russia, utaona library yangu
Mkuu Britanicca, mimi kuja Urusi sidhani, tutembeleane tuu kupitia virtual library
Karibu kwenye maktaba yangu

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.
  1. World Religions
  2. Traditions
  3. Mysteries
  4. What's New?
  5. About
  6. Abuse
  7. Books
  8. Bibliography
  9. Contact
  10. Credits
  11. Copyrights
  12. Donate
  13. Downloads
  14. FAQ
  15. Links
  16. Map
  17. Press
  18. Privacy
  19. Search
  20. Top Level
  21. Terms of Service
  22. Translate
  23. Standards
  24. Unicode
  25. Volunteer
  26. Wishlist
  27. Catalog
  28. African
  29. Age of Reason
  30. Alchemy
  31. Americana
  32. Ancient Near East
  33. Astrology
  34. Asia
  35. Atlantis
  36. Australia
  37. Basque
  38. Baha'i
  39. Bible
  40. Book of Shadows
  41. Buddhism
  42. Celtic
  43. Christianity
  44. Classics
  45. Comparative
  46. Confucianism
  47. DNA
  48. Earth Mysteries
  49. Egyptian
  50. England
  51. Esoteric/Occult
  52. Evil
  53. Fortean
  54. Freemasonry
  55. Gothic
  56. Gnosticism
  57. Grimoires
  58. Hinduism
  59. I Ching
  60. Islam
  61. Icelandic
  62. Jainism
  63. Journals
  64. Judaism
  65. Legends/Sagas
  66. Legendary Creatures
  67. LGBT
  68. Miscellaneous
  69. Mormonism
  70. Mysticism
  71. Native American
  72. Necronomicon
  73. New Thought
  74. Neopaganism/Wicca
  75. Nostradamus
  76. Oahspe
  77. Pacific
  78. Paleolithic
  79. Parapsychology
  80. Philosophy
  81. Piri Re'is Map
  82. Prophecy
  83. Roma
  84. Sacred Books of the East
  85. Sacred Sexuality
  86. Shakespeare
  87. Shamanism
  88. Shinto
  89. Symbolism
  90. Sikhism
  91. Sub Rosa
  92. Swedenborg
  93. Tantra
  94. Taoism
  95. Tarot
  96. Thelema
  97. Theosophy
  98. Time
  99. Tolkien
  100. UFOs
  101. Utopia
  102. Women
  103. Wisdom of the East
  104. Zoroastrianism
P
 
Back
Top Bottom