Uchaguzi 2020 Kuachia nchi au kuikabidhi nchi sio jambo rahisi kama tunavyofikiria

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...

Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?

EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
 
Tungekuwa na watu wenye uwezo wa kufikiria haya kwenye utawala wa nchi yetu tusingekuwa na katiba aliyonayo sasa, katiba inayorundika kila kitu kwa mtu mmoja. Badala yake tungekuwa na katiba inayotoa haki sawa kwa kila mtanzania kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi katika nafasi yeyote ile from urais hadi ujumbe wa nyumba kumi, tungekuwa na katiba ambayo hatoi nafasi kwa mtu mmoja kuteua watu kibao kwa sifa anazojua mteuaji, tusingekuwa na katiba watu kutegemea fadhira ili wateuliwe katika nafasi mbalimbali badala ya uwezo. I don't think kama kuna mwanaccm anaweza haya. CCM is a group of short sighted and foolish individuals
 
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Je ndugu zetu wa_Kenya wao waliweza vipi??
 
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...

Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?

EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
Kuna watu kukosa kazi.....mfano wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wengi wa maDED, wanasiasa waliozoea kuwa mawaziri. Mambo ni mengi, ndio maana yanapiganaga kufa na kupona kupitia NEC.
 
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...

Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?

EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA

Ndugu;

Sekeseke na ukaidi kidogo na pengine hata kujaribu kugoma kukabidhi nchi kwa mshindi, hilo linatarajiwa bila shaka

Lakini jambo moja la uhakika ni hili; NI LAZIMA ALIYESHINDWA AKABIDHI UONGOZI WA NCHI KWA MSHINDI!

Haijalishi ni njia gani zitatumika lakini, lazima CCM na JIWE wakabidhi nchi kwa mshindi kwa sababu mpaka sasa iko wazi sana, kabisa kuwa CCM na Magufuli a.k.a JIWE hawatashinda kwa mbinu za wizi wao

Hofu ya kushughulikiwa?

Yes, sharti na lazima wawe na hofu. Na kwa upande mwingine sheria ni lazima ichukue mkondo wake

Kwa hili hakuna cha kuoneana haya hata kidogo maana Mungu si binadamu hata aseme uongo ama awe kigeugeu. Alilosema atalitenda, basi atalitenda kweli kweli

Mfano, imeandikwa mahali fulani kwenye biblia takatifu kuwa;

"......KILA ATENDAYE DHAMBI AMEKWISHA KUHUKUMIWA....."

Hii maana yake ni kuwa, kama kuna yeyote aliyetenda dhambi kwa kutumia vibaya madaraka yake, huyo AMEKWISHA KUHUKUMIWA TAYARI na Mungu

Tundu Lissu au CHADEMA hawana hatia yoyote dhidi ya mtu huyu maana matendo yake maovu ndiyo yanayomshuhudia na kumhukumu!!

Hii ni natural principle

Na kamwe hapa hakuna kisasi chochote. Alipaye kisasi ni Mungu mwenyewe. Matendo yao yatafuatana nayo. Salama yao, ni kupatana na matendo yao sasa kabla ya kiama kuwafika!!
 
Nchi ni Mali ya wananchi na sio Mali ya kikundi cha wachache au chama fulani,
 
Kuna watu kukosa kazi.....mfano wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wengi wa maDED, wanasiasa waliozoea kuwa mawaziri. Mambo ni mengi, ndo maana yanapiganaga kufa na kupona kupitia NEC.
True wanufaika ndio tatizo uhofia kukosa maslai na kufa njaa. Maana kila ajae uja system zake
 
Ndugu;

Sekeseke na ukaidi kidogo na pengine hata kujaribu kugoma kukabidhi nchi kwa mshindi, hilo linatarajiwa bila shaka

Lakini jambo moja la uhakika ni hili; NI LAZIMA ALIYESHINDWA AKABIDHI UONGOZI WA NCHI KWA MSHINDI!

Haijalishi ni njia gani zitatumika lakini, lazima CCM na JIWE wakabidhi nchi kwa mshindi kwa sababu mpaka sasa iko wazi sana, kabisa kuwa CCM na Magufuli a.k.a JIWE hawatashinda kwa mbinu za wizi wao

Hofu ya kushughulikiwa?

Yes, sharti na lazima wawe na hofu. Na kwa upande mwingine sheria ni lazima ichukue mkondo wake

Kwa hili hakuna cha kuoneana haya hata kidogo maana Mungu si binadamu hata aseme uongo ama awe kigeugeu. Alilosema atalitenda, basi atalitenda kweli kweli

Mfano, imeandikwa mahali fulani kwenye biblia takatifu kuwa;

"......KILA ATENDAYE DHAMBI AMEKWISHA KUHUKUMIWA....."

Hii maana yake ni kuwa, kama kuna yeyote aliyetenda dhambi kwa kutumia vibaya madaraka yake, huyo AMEKWISHA KUHUKUMIWA TAYARI na Mungu

Tundu Lissu au CHADEMA hawana hatia yoyote dhidi ya mtu huyu maana matendo yake maovu ndiyo yanayomshuhudia na kumhukumu!!

Hii ni natural principle

Na kamwe hapa hakuna kisasi chochote. Alipaye kisasi ni Mungu mwenyewe. Matendo yao yatafuatana nayo. Salama yao, ni kupatana na matendo yao sasa kabla ya kiama kuwafika!!
Hakuna kitu kama hicho na haiwezi tokea
Yaani wakuachie kirahisi rahisi no way.

Ova
 
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...

Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?

EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
Karibu yote iliyoandika yanaonesha anayetakiwa kukabidhi nchi ana record mbaya sana katika uongozi wake!
1) Anayeogopa kisasi ni aliyekwisha kutenda maovu
2) Kuhakikisha familia zao na vizazi vyao vipo salama pia ni hofu ya yale madhambi aliyowatendea wananchi wake
3) Kuomba muda wa kuwahakikishia wanachama usalama wao na future yao ni yaleyale ya kuogopa maovu waliyotenda

Waliokutuma kuja kuandika huu ujinga waambie pona yao ni kuacha maovu yao mara moja sababu sheria lazima itafuata mkondo wake!
Yaani wauaji, watesaji, waliokiuka katiba ya nchi, mafisadi na wanyang'anyi wapewe muda wa kujihakikishia usalama wao kweli?
Mleta mada hebu tafakari vizuri

Kina Mwinyi, Nyerere, mkapa na Kikwete hatukuwasikia wakiomba kujificha wao na familia zao, ndugu zao na wanachama wao eti kisa waliogopa visasi, hofu na upumbavu wa namna hii tunauona kwenye utawala huu uliokosa kibali mbele za kila mpenda haki.
 
Back
Top Bottom