Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kwa Tanzania kuna shida kidogo. Hata NEC wakiamua kukosea kwa makusudi na kumtangaza M kama mshindi wa urais badala ya L, mchezo umeishia hapo. Kauli ya NEC ni final.Ni takwa la kikatiba, siyo takwa la mtu.
Uchaguzi ukifanyika umeshindwa utakabidhi tu.
Angalau Kenya wametuzidi kwenye hilo.