Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Je ndugu zetu wa_Kenya wao waliweza vipi??1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Kuna watu kukosa kazi.....mfano wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wengi wa maDED, wanasiasa waliozoea kuwa mawaziri. Mambo ni mengi, ndio maana yanapiganaga kufa na kupona kupitia NEC.1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?
EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
Tatizo ni watu kujiaminishwa kuwa wanapendwa daima watatawala maana hakuna mpinzani kwaoNi takwa la kikatiba, siyo takwa la mtu.
Uchaguzi ukifanyika umeshindwa utakabidhi tu.
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?
EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
Nchi ni Mali ya wananchi na sio Mali ya kikundi cha wachache au chama fulani,1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?
EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
True wanufaika ndio tatizo uhofia kukosa maslai na kufa njaa. Maana kila ajae uja system zakeKuna watu kukosa kazi.....mfano wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wengi wa maDED, wanasiasa waliozoea kuwa mawaziri. Mambo ni mengi, ndo maana yanapiganaga kufa na kupona kupitia NEC.
Hakuna kitu kama hicho na haiwezi tokeaNdugu;
Sekeseke na ukaidi kidogo na pengine hata kujaribu kugoma kukabidhi nchi kwa mshindi, hilo linatarajiwa bila shaka
Lakini jambo moja la uhakika ni hili; NI LAZIMA ALIYESHINDWA AKABIDHI UONGOZI WA NCHI KWA MSHINDI!
Haijalishi ni njia gani zitatumika lakini, lazima CCM na JIWE wakabidhi nchi kwa mshindi kwa sababu mpaka sasa iko wazi sana, kabisa kuwa CCM na Magufuli a.k.a JIWE hawatashinda kwa mbinu za wizi wao
Hofu ya kushughulikiwa?
Yes, sharti na lazima wawe na hofu. Na kwa upande mwingine sheria ni lazima ichukue mkondo wake
Kwa hili hakuna cha kuoneana haya hata kidogo maana Mungu si binadamu hata aseme uongo ama awe kigeugeu. Alilosema atalitenda, basi atalitenda kweli kweli
Mfano, imeandikwa mahali fulani kwenye biblia takatifu kuwa;
"......KILA ATENDAYE DHAMBI AMEKWISHA KUHUKUMIWA....."
Hii maana yake ni kuwa, kama kuna yeyote aliyetenda dhambi kwa kutumia vibaya madaraka yake, huyo AMEKWISHA KUHUKUMIWA TAYARI na Mungu
Tundu Lissu au CHADEMA hawana hatia yoyote dhidi ya mtu huyu maana matendo yake maovu ndiyo yanayomshuhudia na kumhukumu!!
Hii ni natural principle
Na kamwe hapa hakuna kisasi chochote. Alipaye kisasi ni Mungu mwenyewe. Matendo yao yatafuatana nayo. Salama yao, ni kupatana na matendo yao sasa kabla ya kiama kuwafika!!
Karibu yote iliyoandika yanaonesha anayetakiwa kukabidhi nchi ana record mbaya sana katika uongozi wake!1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?
EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
Hahaha! Atapiga magoti Sana. Atawafokea Sana akina kamanda Zero lkn watanzania wameamua. Wanataka Uhuru, Haki na Maendeleo.Tatizo ni watu kujiaminishwa kuwa wanapendwa daima watatawala maana hakuna mpinzani kwao