Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kwa Tanzania kuna shida kidogo. Hata NEC wakiamua kukosea kwa makusudi na kumtangaza M kama mshindi wa urais badala ya L, mchezo umeishia hapo. Kauli ya NEC ni final.Ni takwa la kikatiba, siyo takwa la mtu.
Uchaguzi ukifanyika umeshindwa utakabidhi tu.
CCM is a group of short sighted and foolish individualsTungekuwa na watu wenye uwezo wa kufikiria haya kwenye utawala wa nchi yetu tusingekuwa na katiba aliyonayo sasa, katiba inayorundika kila kitu kwa mtu mmoja. Badala yake tungekuwa na katiba inayotoa haki sawa kwa kila mtanzania kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi katika nafasi yeyote ile from urais hadi ujumbe wa nyumba kumi, tungekuwa na katiba ambayo hatoi nafasi kwa mtu mmoja kuteua watu kibao kwa sifa anazojua mteuaji, tusingekuwa na katiba watu kutegemea fadhira ili wateuliwe katika nafasi mbalimbali badala ya uwezo. I don't think kama kuna mwanaccm anaweza haya. CCM is a group of short sighted and foolish individuals
Ni rahisi Sana labda Kama una shida ya kufanya Mambo rahisi yawe magumu. ( Making simple things hard syndrome)1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?
EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
Kweli. NEC haigusiki wala haipelekwi mahakama za Tanzania, lkn ICC itapelekwa.Kwa Tanzania kuna shida kidogo. Hata NEC wakiamua kukosea kwa makusudi na kumtangaza M kama mshindi wa urais badala ya L, mchezo umeishia hapo. Kauli ya NEC ni final.
Angalau Kenya wametuzidi kwenye hilo.
Kabisa. Tatizo kubwa iko hapaTrue wanufaika ndio tatizo uhofia kukosa maslai na kufa njaa. Maana kila ajae uja system zake
Ni takwa la kikatiba, siyo takwa la mtu.
Uchaguzi ukifanyika umeshindwa utakabidhi tu.
CCM is a group of short sighted and foolish individuals
Watakabidhi tu. Wananchi tumeshaamua. Hawezi kushindana na nguvu ya umma.
Hakuna kitu kama hiki. Mfano rahisi tu ni Seif Shariff mwaka 2015. What happened?Kweli. NEC haigusiki wala haipelekwi mahakama za Tanzania, lkn ICC itapelekwa.
Upuuzi mtupu, nchi uwape hawa vibaraka?. Ni Sawa na fisi kuwapa bucha, hata mifupa itasagwasagwa.Kama hawajajiandaa kukabidhi, tutawapa siku 7 wafanye majumuisho yooote. Tutamrudisha Prof. Assad atusaidie kufanyia uhakiki hayo mahesabu.
Umenena sahihi kabisa.Hakuna kitu kama hiki. Mfano rahisi tu ni Seif Shariff mwaka 2015. What happened?
Kwanza ICC inadeal na vitu hivi tu: genocide, crimes against humanity, war crimes na crime of aggression.
Uwezekano pekee wa kuwatoa CCM ni kupiga kura kwa wingi sana ila bahati mbaya wengi humu hawatopiga kura kwa sababu mbalimbali
Huyo anaondoka tu... usitishe wananchi.1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?
EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
Labda mnajipanga kutumia risasi kama mlivyozitumia hapo awaliNani alikwambia Lissu atashinda
Dunia imesha badilika ukiwazingua wananchi kuna wakubwa wanakumulika nao wanakuzingua ile mbaya. Ya Ivory Coast tunayakumbuka. Kenyatta na Rutto waliponea kwa bahati. Hakuna aliye salama hasa kama wananchi watakinukisha. Tusiombe tufike huko.Hakuna kitu kama hicho na haiwezi tokea
Yaani wakuachie kirahisi rahisi no way.
Ova
Hakuna kitu kama hiki. Mfano rahisi tu ni Seif Shariff mwaka 2015. What happened?
Kwanza ICC inadeal na vitu hivi tu: genocide, crimes against humanity, war crimes na crime of aggression.
Uwezekano pekee wa kuwatoa CCM ni kupiga kura kwa wingi sana ila bahati mbaya wengi humu hawatopiga kura kwa sababu mbalimbali
Wajaribu wakione. Hakuna aliye salama. Ushenzi utajibiwa na askari wa dunia pamoja na nguvu ya umma.Umenena sahihi kabisa.
Wacha uoga.. hakuna visasi1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?
EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
Simba mwenda pole ndo mla nyama.. ccm kwisha habari yao1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future yao, watoto wao, ndugu na wanachama ambao walio kipigania chama...
Sasa unafikiri yote haya hayataangaliwa?
EH MUNGU TUOKOE NA UIBARIKI TANZANIA
Kwa kiwango chetu cha maendeleo, na uhitaji wa kiuchumi wa leo Magufuli is the best President, na bila kumung'unya maneno na hata kwa uhitaji wetu kiuchumi angetawala kwa miaka mingine 10.Huyo anaondoka tu... usitishe wananchi.
CCM walileta mtu hafai na hii inakwenda kuwa adhabu kwao.