Uchaguzi 2020 Kuachia nchi au kuikabidhi nchi sio jambo rahisi kama tunavyofikiria

Acha kuwatisha bhana. Hatutaki visasi. Tutakuwa na kazi kubwa ya kukwamua nchi iliyodumazwa na ccm kwa zaidi ya nusu karne!
 
Uongozi ni dhamana ya muda sio ya kudumu
 
Atake asitake atakabidhi nchi , sio Mali yake Wala ya chama chake , internal and external factors will be considered .
 
Ungeyajua haya ungetakiwa kuishi kwa nidhamu VINGINEVYO ulikuwa unabeti maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…