Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Naam tuna safari ndefu sana kama taifa..., Kutokukubaliana ni either Pandikizi au Umetumwa..., which means mawazo ya kwako binafsi hayafai ni either uwe kushoto au kulia....Nakusoma vyema ndugu pandikizi:
View attachment 2141955
Uzi pendwa:
Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana
Kawaambie waliokutuma - "HAYADANGANYIKI!"
Pili kama nilivyokujibu wewe hapa kama unaona Samia deserves Credit kwenye hili ambalo walilisababisha wenyewe... na sasa wanaliweka sawa basi that's your prerogative and lets agree to disagree...
Na kama nilivyomjibu huyo hapo sijui alikuwa nani kama anaona kilichotokea ni Ushindi kwa yoyote let alone Chadema... (again lets agree to disagree)
Kama Chama kimepoteza rasilimali na muda (time is money) ku-deal na hii Kesi wakati mambo mengine constructive yangekuwa yanafanyika..., Kama Serikali / Waliopo Madarakani they could have never win this case (kwa lolote lile) Kumfunga ingeonekana ameonewa na kumuachia ndio hivyo, the case should have never even started in the first place (unless kama mtu una evidence beyond reasonable doubts) yaani kama ni kuku unashikwa kabisa ukiwa ushamuiba Kuku ushamjinja na sasa umeshikilia paja unalitafuna (anything less ni kwamba Taifa kwa ujumla tumepoteza kwa hizi Sarakasi)
Sio mbaya kuanguka kama tutaamka kujipangusa na kuendele mbele (lets hope that's what will happen) na sio watu kutaka kujichukulia mtaji wa kisiasa kwa hizi blunder zilizofanyika.
Speaking as an Average Joe ambae hafungamani na Chama Chochote (Just Justice na Maendeleo ya Taifa, Afrika na Dunia kwa Ujumla)