Kuachiwa Mbowe na Wenzake, Tanzania imeshinda

Nakusoma vyema ndugu pandikizi:

View attachment 2141955

Uzi pendwa:

Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana

Kawaambie waliokutuma - "HAYADANGANYIKI!"
Naam tuna safari ndefu sana kama taifa..., Kutokukubaliana ni either Pandikizi au Umetumwa..., which means mawazo ya kwako binafsi hayafai ni either uwe kushoto au kulia....

Pili kama nilivyokujibu wewe hapa kama unaona Samia deserves Credit kwenye hili ambalo walilisababisha wenyewe... na sasa wanaliweka sawa basi that's your prerogative and lets agree to disagree...

Na kama nilivyomjibu huyo hapo sijui alikuwa nani kama anaona kilichotokea ni Ushindi kwa yoyote let alone Chadema... (again lets agree to disagree)

Kama Chama kimepoteza rasilimali na muda (time is money) ku-deal na hii Kesi wakati mambo mengine constructive yangekuwa yanafanyika..., Kama Serikali / Waliopo Madarakani they could have never win this case (kwa lolote lile) Kumfunga ingeonekana ameonewa na kumuachia ndio hivyo, the case should have never even started in the first place (unless kama mtu una evidence beyond reasonable doubts) yaani kama ni kuku unashikwa kabisa ukiwa ushamuiba Kuku ushamjinja na sasa umeshikilia paja unalitafuna (anything less ni kwamba Taifa kwa ujumla tumepoteza kwa hizi Sarakasi)

Sio mbaya kuanguka kama tutaamka kujipangusa na kuendele mbele (lets hope that's what will happen) na sio watu kutaka kujichukulia mtaji wa kisiasa kwa hizi blunder zilizofanyika.

Speaking as an Average Joe ambae hafungamani na Chama Chochote (Just Justice na Maendeleo ya Taifa, Afrika na Dunia kwa Ujumla)
 

Usipate taabu mjomba. Peleka mrejesho:

"HAYADANGANYIKI!"
 
Watu duni hawawezi kusamehe. Hawawazi ya mbele wao wanaangalia yaliyo usoni mwao tu
 
Mkuu mama ameamua kuachana na upuuzi anataka kuwa mtu mwema. Tumshukuru kwa hilo. Au unataka yamkute yaliyomkuta mtu fulani?
 
Mkuu mama ameamua kuachana na upuuzi anataka kuwa mtu mwema. Tumshukuru kwa hilo. Au unataka yamkute yaliyomkuta mtu fulani?
Naam tumshukuru kwa hilo na tugange yajayo..., ikibidi hata tusifukue makaburi na kukumbushia upuuzi uliofanyika (na yeye akihusika)

LAKINI itakuwa ni unafiki kujifanya kwamba Upuuzi mwingine haukuwa wake..., kwamba she was always innocent...., hapo tutaleta precedence ya kutoku-OWN happenstances mtu alizosababisha... AKA (KUWAJIBIKA)
 
Nafikiri tumeelewana vizuri
 
Mie CCM, kada kinda kinda, nimefurahi legacy ya utesaji wa nanihii.....inasambaratishwa.

Hauko peke yako mkuu.

Kada mwingine kindaki ndaki wa chama mboga mboga bwana Stuxnet anasimama na sisi leo pia.

Tanzania ni moja. Tanzania imeshinda. Tujenge nchi kwa misingi ya haki.



Wacha viduku pichani wakule jeuri yao - kule waliko peleka mboga.
 
Bado najiuliza kwa nini Police wetu wanathubutu kuwabambikizia watu kesi kubwa kubwa kama hizi ?
 
Pole!
Uguza maumivu.
We can just tell uliko ajiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…