Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Ndege ilipokamatwa South Africa walitumia pesa nyingi kusafirisha umati kwenda kutoa Rushwa na gharama za kulipana posha malazi chakula, kodi ya maegesho ya Ndege gharama za rubani na wahudumu wao kukaa South Africa kusubiria Ndege iachiwe, na sasa pia wamewatuma watu canada wanalipwa gharama kubwa na mengineyo, usikute wewe ni mnufaika wa sakata hili ndiyo maana unafagilia dhuluma hiyo upate kuendelea kujinufaisha zaidi.
nikuulize.kitu jomba..hivi unajua gharama zote hizo na nyingine ambazo hukutaja ninalipwa na nani..nijibu hili ili niendelee kukufungua macho sasa
 
Ushahidi ni Ndege kuachiwa tu, Ndege haikuachiwa bure tambua hilo huo ndiyo ushahidi tosha, Le mutuz acha fujo CCM wataendelea kukulipa usiwe na wasiwasi endelea kuwatetea mitandaoni lakini mjue watanzania siyo wajinga wanajua A-Z
hahahhahaa jomba na ujue pia watanzania asilimia zaidi ya 90 wapo nyuma ya Magufuli..upo.. nyingi mliobaki ni wachache sana na wala hamna impact yoyote kwenye mambo ya nchi.poleni sana jomba
 
uletewe hukumu ya kesi wewe kama nani..halaf ukishaletewa.....what next..utaifanyia nini...hahahaha mtu hiyo ndege yenyewe hujui ilinunuliwaje..na ililipiwaje。..umekuja kudandia gari kwa mbele.....i wish i could be the IGP..jomba
Usikariri kwa kudandia.. inategemea gari inaelekea wapi... kama inaenda mbele, dandia nyumba na kama inarudi nyuma dandia mbele.. USIKARIRI UTAKUFA..

By the way huku ni ya kila mtanzania.. NALIPA KODI LAZIMA NOJUE HUKUMU IPOJE..

mnashindwa kuleta ushahidi mnadhani kurudi kwa ndege maana yake hatujalipa deni...
 
nikuulize.kitu jomba..hivi unajua gharama zote hizo na nyingine ambazo hukutaja ninalipwa na nani..nijibu hili ili niendelee kukufungua macho sasa

Wewe ni mtetezi wa CCM endelea kukariri ukivyoamua kuwahadaa wajinga wachache watakaokuamini lakini tambua kuwa watanzania wengi siyo wajinga wanajua kuwa gharama za kukwepa Deni kuharalisha dhuluma ni kubwa kuliko kupunguza Deni lenyewe, hata ubishe vipi hilo utukwama milele.
 
Tumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Kiongozi hii wataipita kama hujapost vile, na watajifanya hawajaiona... wao wanadhani kurudi ndege maana yake wameshinda kesi na mkulima halipwi..

DAWA YA DENI NI KILIPA TU... HAYA MASAFARI YA KWENDA KUITETEA IACHIWE NAYO NI GHARAMA ... NA INAONGEZEKA TO KWENYE DENI LA MKULIMA
 
Usikariri kwa kudandia.. inategemea gari inaelekea wapi... kama inaenda mbele, dandia nyumba na kama inarudi nyuma dandia mbele.. USIKARIRI UTAKUFA..

By the way huku ni ya kila mtanzania.. NALIPA KODI LAZIMA NOJUE HUKUMU IPOJE..

mnashindwa kuleta ushahidi mnadhani kurudi kwa ndege maana yake hatujalipa deni...
tuletee ushahidi wa wewe kulipa kodi yoyote serkalini kwanza ndio tutaweza zungumza
 
Jamani Watanzania wenzetu hawachoki hata mie naanza kuamini kwamba wanaochochea ni wenzetu wa ndani wanafurahia mini Yarabi pesa yetu ilipwe mwingine badala ya kusaidia kujenga Nchi.
Kaa kwenye nafasi ya mkulima..!!
 
hao wapinzani unaowataja hapo ni nani...wapinzani ni cheo kikubwa na cha maana na sio nyinyi wapingaji tu ndio kazi yenu

Wapinzani siyo wapigaji na endapo wapinzani wasingekuwa na nguvu nyie CCM msingetumia nguvu kubwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu kwa kila idara
 
Kama tumelipa nini maoni yako?? Na kama tumesamehewa ni nini maoni yako?? Na vipi kama tumeshinda wewe maoni yako ni yapi??
Kuweka wazi ndio jambo muhimu, kwa nini wanafichaficha kama vile wanafanya uchawi?
Serikali kubobea katika uongo, hila na dhuluma hiyo sio serikali ya watu, inayoongoza watu kwa ajili ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi hii wataipita kama hujapost vile, na watajifanya hawajaiona... wao wanadhani kurudi ndege maana yake wameshinda kesi na mkulima halipwi..

DAWA YA DENI NI KILIPA TU... HAYA MASAFARI YA KWENDA KUITETEA IACHIWE NAYO NI GHARAMA ... NA INAONGEZEKA TO KWENYE DENI LA MKULIMA
nauliza naomba jibu..haya maoni yenu mbona ndio mnayaleta kipindi hiki..kipindi cha baba wa Taifa, Mwinyi, mkapa, Kikwete mbona hamkuyazungumza. au kipindi hicho deni lilishalipwa lote likaisha na sasa limeletwa lilipwe mara ya pili nini
 
tuletee ushahidi wa wewe kulipa kodi yoyote serkalini kwanza ndio tutaweza zungumza

Akilipa kodi aje kukugongea hodi akuonyeshe risti? Wewe Mbona unalipwa mabilioni na CCM kwa ajili ya kutengeneza propaganda Mbona hulipi kodi?
 
Wapinzani siyo wapigaji na endapo wapinzani wasingekuwa na nguvu nyie CCM msingetumia nguvu kubwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu kwa kila idara
hamna sera nyinyi.. mmefirisika na sera vichwani mwenu..kazi yenu ni kukuririshwa na kumezeshwa
 
nauliza naomba jibu..haya maoni yenu mbona ndio mnayaleta kipindi hiki..kipindi cha baba wa Taifa, Mwinyi, mkapa, Kikwete mbona hamkuyazungumza. au kipindi hicho deni lilishalipwa lote likaisha na sasa limeletwa lilipwe mara ya pili nini

Mwinyi mkapa Kikwete walikuwa wakimlipa mkulima kidogo kidogo lakini Kabudi akaamua kutengeneza dhuluma apate kuichukua pesa ya mkulima wa kizungu kwa njia haramu ndiyo maana alitengeneza mazingira ya kumfukuza mkulima Nchini kienyeji.
 
tuletee ushahidi wa wewe kulipa kodi yoyote serkalini kwanza ndio tutaweza zungumza
Kiongozi unaishiwa point sasa.... UNATAKA NIKUPE SALARY SLIP YANGU UONE PAYE..?? Au hujui kuwa nanunua vitu mbalimbali na vyote vina VAT.. ?? Hujui kuwa nasafiri na tiketi kuna VAT..??? Kila mtanzania analipa kodi... kwa ada, nauli, Mpesa, Airtel money, tiGo Pesa etc.. Vocha za data air time...

Au wewe unaelewaje mtu akisema analipa kodi..???
 
Akilipa kodi aje kukugongea hodi akuonyeshe risti? Wewe Mbona unalipwa mabilioni na CCM kwa ajili ya kutengeneza propaganda Mbona hulipi kodi?
ndio atuletee risiti tuthibitishe kama analipa kodi kweli. mbona sisi tutadai taarifa ya ndege.kama vile sijui tutaipeleka.wapi
 
hamna sera nyinyi.. mmefirisika na sera vichwani mwenu..kazi yenu ni kukuririshwa na kumezeshwa

Sera zipo za kutosha ndiyo maana kutwa mpo busy kutumia pesa za walipa kodi kuwanunua wapinzani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na hujuma mbalimbali, kama wapinzani hawana sera si muache wananchi waamue wenyewe? iweje CCM mnalazimisha kupendwa kwa gharama kubwa pesa za walipa kodi?
 
nauliza naomba jibu..haya maoni yenu mbona ndio mnayaleta kipindi hiki..kipindi cha baba wa Taifa, Mwinyi, mkapa, Kikwete mbona hamkuyazungumza. au kipindi hicho deni lilishalipwa lote likaisha na sasa limeletwa lilipwe mara ya pili nini
Awamu zote deni la mkulima walilipa... awamu hii wakagoma na wakamtimua nchini.... UNATEGEMEA NINI..??

BY THE WAY... hivi kwa mtazamo wako, mkulima ana haki au hana ya kulipwa deni?
 
Back
Top Bottom