nikuulize.kitu jomba..hivi unajua gharama zote hizo na nyingine ambazo hukutaja ninalipwa na nani..nijibu hili ili niendelee kukufungua macho sasaNdege ilipokamatwa South Africa walitumia pesa nyingi kusafirisha umati kwenda kutoa Rushwa na gharama za kulipana posha malazi chakula, kodi ya maegesho ya Ndege gharama za rubani na wahudumu wao kukaa South Africa kusubiria Ndege iachiwe, na sasa pia wamewatuma watu canada wanalipwa gharama kubwa na mengineyo, usikute wewe ni mnufaika wa sakata hili ndiyo maana unafagilia dhuluma hiyo upate kuendelea kujinufaisha zaidi.
hahahhahaa jomba na ujue pia watanzania asilimia zaidi ya 90 wapo nyuma ya Magufuli..upo.. nyingi mliobaki ni wachache sana na wala hamna impact yoyote kwenye mambo ya nchi.poleni sana jombaUshahidi ni Ndege kuachiwa tu, Ndege haikuachiwa bure tambua hilo huo ndiyo ushahidi tosha, Le mutuz acha fujo CCM wataendelea kukulipa usiwe na wasiwasi endelea kuwatetea mitandaoni lakini mjue watanzania siyo wajinga wanajua A-Z
Soma vizuri post no 1,tumeshinda kesi,na mahakama imeweka precedence,ndio maana mawakala wa shetani wapo kimyaTumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Usikariri kwa kudandia.. inategemea gari inaelekea wapi... kama inaenda mbele, dandia nyumba na kama inarudi nyuma dandia mbele.. USIKARIRI UTAKUFA..uletewe hukumu ya kesi wewe kama nani..halaf ukishaletewa.....what next..utaifanyia nini...hahahaha mtu hiyo ndege yenyewe hujui ilinunuliwaje..na ililipiwaje。..umekuja kudandia gari kwa mbele.....i wish i could be the IGP..jomba
nikuulize.kitu jomba..hivi unajua gharama zote hizo na nyingine ambazo hukutaja ninalipwa na nani..nijibu hili ili niendelee kukufungua macho sasa
Kiongozi hii wataipita kama hujapost vile, na watajifanya hawajaiona... wao wanadhani kurudi ndege maana yake wameshinda kesi na mkulima halipwi..Tumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Sio ajabu kule mjengoni ushampa maana sio kwa sifa hizo!Kamanda JPM ataunguruma leo,mashujaa wetu wakiongozwa na Mbobezi Prof.Kabudi wataweka mambo hadharani
Sent using Jamii Forums mobile app
tuletee ushahidi wa wewe kulipa kodi yoyote serkalini kwanza ndio tutaweza zungumzaUsikariri kwa kudandia.. inategemea gari inaelekea wapi... kama inaenda mbele, dandia nyumba na kama inarudi nyuma dandia mbele.. USIKARIRI UTAKUFA..
By the way huku ni ya kila mtanzania.. NALIPA KODI LAZIMA NOJUE HUKUMU IPOJE..
mnashindwa kuleta ushahidi mnadhani kurudi kwa ndege maana yake hatujalipa deni...
Kaa kwenye nafasi ya mkulima..!!Jamani Watanzania wenzetu hawachoki hata mie naanza kuamini kwamba wanaochochea ni wenzetu wa ndani wanafurahia mini Yarabi pesa yetu ilipwe mwingine badala ya kusaidia kujenga Nchi.
hao wapinzani unaowataja hapo ni nani...wapinzani ni cheo kikubwa na cha maana na sio nyinyi wapingaji tu ndio kazi yenu
Kuweka wazi ndio jambo muhimu, kwa nini wanafichaficha kama vile wanafanya uchawi?Kama tumelipa nini maoni yako?? Na kama tumesamehewa ni nini maoni yako?? Na vipi kama tumeshinda wewe maoni yako ni yapi??
nauliza naomba jibu..haya maoni yenu mbona ndio mnayaleta kipindi hiki..kipindi cha baba wa Taifa, Mwinyi, mkapa, Kikwete mbona hamkuyazungumza. au kipindi hicho deni lilishalipwa lote likaisha na sasa limeletwa lilipwe mara ya pili niniKiongozi hii wataipita kama hujapost vile, na watajifanya hawajaiona... wao wanadhani kurudi ndege maana yake wameshinda kesi na mkulima halipwi..
DAWA YA DENI NI KILIPA TU... HAYA MASAFARI YA KWENDA KUITETEA IACHIWE NAYO NI GHARAMA ... NA INAONGEZEKA TO KWENYE DENI LA MKULIMA
Wewe unafaa?kwa kupinga maendeleo yetu, hao watu hawafai kuja kua viongozi wetu baadae.
tuletee ushahidi wa wewe kulipa kodi yoyote serkalini kwanza ndio tutaweza zungumza
hamna sera nyinyi.. mmefirisika na sera vichwani mwenu..kazi yenu ni kukuririshwa na kumezeshwaWapinzani siyo wapigaji na endapo wapinzani wasingekuwa na nguvu nyie CCM msingetumia nguvu kubwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu kwa kila idara
nauliza naomba jibu..haya maoni yenu mbona ndio mnayaleta kipindi hiki..kipindi cha baba wa Taifa, Mwinyi, mkapa, Kikwete mbona hamkuyazungumza. au kipindi hicho deni lilishalipwa lote likaisha na sasa limeletwa lilipwe mara ya pili nini
Kiongozi unaishiwa point sasa.... UNATAKA NIKUPE SALARY SLIP YANGU UONE PAYE..?? Au hujui kuwa nanunua vitu mbalimbali na vyote vina VAT.. ?? Hujui kuwa nasafiri na tiketi kuna VAT..??? Kila mtanzania analipa kodi... kwa ada, nauli, Mpesa, Airtel money, tiGo Pesa etc.. Vocha za data air time...tuletee ushahidi wa wewe kulipa kodi yoyote serkalini kwanza ndio tutaweza zungumza
ndio atuletee risiti tuthibitishe kama analipa kodi kweli. mbona sisi tutadai taarifa ya ndege.kama vile sijui tutaipeleka.wapiAkilipa kodi aje kukugongea hodi akuonyeshe risti? Wewe Mbona unalipwa mabilioni na CCM kwa ajili ya kutengeneza propaganda Mbona hulipi kodi?
hamna sera nyinyi.. mmefirisika na sera vichwani mwenu..kazi yenu ni kukuririshwa na kumezeshwa
Awamu zote deni la mkulima walilipa... awamu hii wakagoma na wakamtimua nchini.... UNATEGEMEA NINI..??nauliza naomba jibu..haya maoni yenu mbona ndio mnayaleta kipindi hiki..kipindi cha baba wa Taifa, Mwinyi, mkapa, Kikwete mbona hamkuyazungumza. au kipindi hicho deni lilishalipwa lote likaisha na sasa limeletwa lilipwe mara ya pili nini