Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Wakuu,naombeni mwenye hukumu ya Canada atusaidie kutuwekea humu
 
Malizia basi! Mabebez, you know! Ila ile habari ya kibamia ilikunyong'onyeza sana mzee!
 
Mleta mada jaribu kuwaza japo kwa kiwango cha akili za kuku!
Lisu na Fatuma ndio wanakamata ndege?
Umejaribu kusoma na kujua chanzo cha ndege kukamatwa ninini?
Si unajua dawa ya deni?
Unajua kilichofanyika hadi ikaachiwa nchini Canada? stay tuned.
Ni vyema uwe unatumia akili ndogo ulizojaaliwa kutafakari badala ya kukurupuka.
 
Kwahiyo hizi ndio akili za kuku?bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani amuombe radhi mtu wa JALALANI?
 
Malizia basi! Mabebez, you know! Ila ile habari ya kibamia ilikunyong'onyeza sana mzee!

Mkuu huyo mtoto wa waziri mkuu mstaafu mwacheni. I do not know him and he does not know me. FYI I never lived in USA and I do not have an iota to live in a segregated place. Bring your arguments we can discuss as mature people with points. Ukishindwa hoja ndio unakimbilia kusema ati unanifahamu/unamfahamu mtu. Absolutely rubbish.

Huwezi kuniambia leo hii ati Canada nao wanashindwa kutoa taarifa za kesi zinazosikilizwa kwenye mahakama zao. Kushindwa kuleta ushahidi huo unaonyesha jinsi members wengi wa JF walivyo watupu kwenye mambo ya msingi.
 
OK, tuache hayo mengine maana ni jokes tuu, JF SAA zote sio kukomaza shingo itavunjika. Lazima utani kidogo uwepo na mambo ya hapa na pale.
Turudi kwenye la msingi. Jee ni wajibu wetu kutafuta hukumu ya mahakama kama vile tuna kesi nyingine na serikali hivyo tunataka reference?
Ni serikali yetu iliyotumia fedha nyingi kuhusu kesi hiyo kutufahamisha tumeshindaje? Maana kurudishwa ndege yetu sio kushinda maana ni Mali yetu hiyo! Mkulima ndio alishika hiyo ndege yetu ili alipwe fedha zake, kama kalipwa fedha zake na kuachia ndege tunajitapaje kuwa tumeshinda? Aliyeshinda ni mkulima.
Tuambiwe ukweli tuu, wala sio jambo LA aibu Bali fahari kuweza kulipa deni.
Wakishindwa/kukataa kutuambia wajuzi watapekenyua na judgement itawekwa hapa! Chezea JF wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…